Ndio maana mabalozi walimsindikiza hawana akili waleUsiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu...Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia...
Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote...
Karuhusiwa kwenda mahkamani huku kwetu hata vituo havikubandika matokeo vikachoraKwa hiyo na Marekani watawekewa nikwazo na dunia au siyo jomba...si Trump anahisi na anasema ameibiwa kura..kaenda mahakamani..Joe Biden atawekewa vikwazo sijui na nchi gani Sasa...hahahaha
Hivi miaka mitano iliyopita Magufuli, hajatuwekea vikwazo vya uchumi wananchi wake? Mbona uligwaya kulalamikia vyuma kukaza? Mbona hukulalamika kuwaondoa watu kazini kwa uonevu? Mbona hukulalamika watu kukosa ajira? Mbona hukulalamika Watu biashara zao zimefilisiwa? Mbona hukulalamika Sekita binafsi imevurugwa? Mbona hukulalamika watu kutekwa na kupotezwa Jumla? Ukweli ni kwamba vikwazo vya uchumi vilishaanzishwa tayari na Magufuli!!!Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchaguzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Musiogope kuwekewa vikwazo na mabeberu.Watanzania walio wengi hatuna maisha magumu ndio maana hata ukiitisha maandamano yanabuma ndio maana with wowote wa vurugu na fujo toka upinzani haupati support
Lakini tukipata Hali ngumu sababu ya wazungu na vyama vya upinzani hasira zetu haziwezi kwenda kwa serikali tutazipeleka kwenye vyama vya upinzani na wazungu wao sababu wao ndio watakuwa wamesababisha
Huyo mchina bila ya kuwa unatumia $ dola kwenye biashara na wewe hakutaki nenda na pesa yako ya madafuYaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Onesha kituo kilichobandika matokeoAtakaye dai haki Ni Nani Sasa hapa..ikiwa asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wanamuunga mkono JPM na serikali yake. Au unadhan JPM kajipigia kura mwenyewe nchi nzima...hahahah..msiwachukulie poa wananchi wa Tanzania ..upinzani una Nini huu..hakuna lolote...na nasema watanzania wataendelea kuwanyima kura Kama mtaendelea nanupinzani usiokuwa na tija
Umewahi kumwambia JIWE na jamaa yake Mahela hizi hatari?Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchaguzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Zimbabwe ya Mugabe walikuwa na majibu ya hii umeandika leo kawaulize maisha yaoYaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Joe atawekewa vikwazo na Tanzania..Kwa hiyo na Marekani watawekewa nikwazo na dunia au siyo jomba...si Trump anahisi na anasema ameibiwa kura..kaenda mahakamani..Joe Biden atawekewa vikwazo sijui na nchi gani Sasa...hahahaha
Kihalisia mpaka sasa tuko chini ya mfumo wa chama kimoja,mengine ni zuga ya kuwazuga mabeberu watuone kuwa tuko kwenye mfumo wa vyama vingi.Kifupi kukitokea vikwazo Lisu asije kanyaga Tanzania na ndio mwisho wa Chadema na upinzani Tanzania watachukiwa kupita maelezo .Tutarudi mfumo wa chama kimoja Kama China
Ukishakuwa mnufaika wa huu utawala lazima akili zikutoke,mbuzi wewe.Usiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu...Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia...
Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote...
Kesi ya Zimbabwe Ni tofauti kule wanasiasa walipora mashamba ya wazungu na kujigawia wao na familia zaoZimbabwe ya Mugabe walikuwa na majibu ya hii umeandika leo kawaulize maisha yao
Duh!? Waafrika chini ya jangwa la Sahara tunaitwa kila majina, mara manyani, mara akili zetu ndogo,mara ni binaadamu lakini hatujatimia,sub human beingHahaha kaiba kura wapi...kwa hiyo kaiba na mawakala wenu wameshirikiana...leteni mahesabu ya mawakala wenu tuone..msidhani watanzania wajinga...mnaweweseka tu shwainnn..
Haya Kama wewe na mmeo na wanao mtaenda chamwino nendeni...tu..hapo ndipo mtawajua watanzania..wakati huo serikali itakuwa imekaa pembeni inaangalia
Wewe una uhakika gani kwamba alipigiwa kura halali? Wewe unajua mchezo uliokuwa unafanyika kwenye vituo vya kupigia kura?, Kwenye kituo unakuta kapata kura 37 alafu inaongezwa sifuri moja na kuwa 370 huku Lissu akiandikiwa chache zaidi ya alizopata, mawakala wanafukuzwa kwenye vituo?Atakaye dai haki Ni Nani Sasa hapa..ikiwa asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wanamuunga mkono JPM na serikali yake. Au unadhan JPM kajipigia kura mwenyewe nchi nzima...hahahah..msiwachukulie poa wananchi wa Tanzania ..upinzani una Nini huu..hakuna lolote...na nasema watanzania wataendelea kuwanyima kura Kama mtaendelea nanupinzani usiokuwa na tija
.....kuna neno linatumikaga vibaya sana "MSIONE WATANZANIA WAJINGA" nikilionaga ua nacheka sana,ofcourse CCM wanawafanya Watanzania ni WAJINGA ndo maana yote haya yanatokea,kwa mgongo wa AMANI.Hahaha kaiba kura wapi...kwa hiyo kaiba na mawakala wenu wameshirikiana...leteni mahesabu ya mawakala wenu tuone..msidhani watanzania wajinga...mnaweweseka tu shwainnn..
Haya Kama wewe na mmeo na wanao mtaenda chamwino nendeni...tu..hapo ndipo mtawajua watanzania..wakati huo serikali itakuwa imekaa pembeni inaangalia
neno mabwana zao.unalotumia linakutoa kwenye HOJA husika....kwa nn waitwe mabwana? je na wakitoa msaada kwa magufuli nao watabakia.na.jina hilohilo au wataitwa wadau wa maendeleo? kimsingi LISSU ana hoja ya msingi....na yupo sahihi kutafuta msaada nje kadri atavyoona inafaaa maaana hamna sehemu.nyingine yakumshitaki mtesei wako zaidi ya huko.Uwe kada wa CCM au usiwe Mimi nakugonga nyundo tu.afterall proof iko wapi kama wewe Ni kada...hata Mimi ni kada wa chadema kindakindaki lakini nasema ukweli daima...msiwachukulie poa watanzania...tangu kuanzishwa vyama vingi hamjaweza kuwashawishi watanzania wawape kura nyingi...wamekuwa wakiwapa CCM siku zote...hamjaonyesha dhamira ya ukweli ya Nini mnataka kuwafanyia watanzania zaidi ya anayofanya Magufuli..sanasana mnataka cheo tu na ulaji..msubirini Seif muone..umewasikia kina Jusa..hahahah nyinyi manyumbu hata hamjielewi..wenzenu wanapambania ili mkate uende kinywani nyie Ni Kama chambo tu...na wengine ndio hao wameshafanya waacha solemba wameenda kwa mabwana zao...SI watetezi wa mashoga...naona labda mnashirikiana pia
Nadhani lengo kuu la vikwazo ni kuwashinikiza wananchi waichukie serikali iliyopo madarakani na kisha waikatae kwa vitendo.Maana wao wakija directly kuitoa tutawajibu "sisi ni nchi huru" hivyo vikwazo ni indirect way ya kutimiza lengo lao la msingi(kuing'oa serikali ilyopo madarakani).Tanzania ni yetu sote.Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchaguzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
SEMA mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie. Lol