Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

Mshauri Lissu aache
Kisaikolojia watu wenye hulka kama ya Lissu huwa wanapigania haki zao hadi tone la mwisho,mi nadhani wala asijisumbue kumshauri.Amuache tu afuate utashi wake.Muhimu kwa sasa ni kujiandaa kukabiliana na yajayo.
 
Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwa

Nadhani siwezi jenga hoja na wewe, ukikua utaelewa vizuri
Ukubwa dawa wakati mwingine!
 
Yaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Hizo nchi ndo haziwezi kuwekewa vikwazo?.Zimbabwe hawajui kwamba kuna China,India n.k?
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.

SEMA mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie. Lol
Kayafa ataendeshaje behewa bila manemane na uvumba kutoka kwa mamajusi? Ataindoka kwa aibu Kama Roma Mkatoliki wa Harare
 
Linda kura hutaki!
Toka uandamane udai haki yako hutaki!

Wananchi ni jeshi la mwisho katika kufanya mabadiliko yoyote yale ndio maana wanaotakiwa kubanwa ni sisi ili tupige kelele za vitendo.

Ngoja yeboyebo zikosekane sokoni kwanza ndio mjue ichi ipo uchumi wa katikati ya mapaja au wapi
 
Hahahahaa.Nacheka kama mazuri vile.Umeandika kwa hisia nzito sana.
 
Baada ya kuwekewa vikwazi vingi ndio hapo mtaanza kuandamana na kumtaka atoke, nyie peke yenu bila kushurutishwa......

Kisha mtaangwa mkono na UN na watu wengi watauwawa lakini mwisho wa siku atatoka tu..
 
Tatizo wapinzani wanaona kama waTZ ni majuha.
Watanzania wameamua kumchagua Magufuli wameukataa utaahira wa upinzani.
Km ni kweli wapinzani waliibiwa kula tungeona hata dalili za malalamiko mitaani.

Tangu trh 29 baada ya uchaguzi raia wameendelea na mishe zao km kawa utazani kulikuwa hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi.

Funga kazi ni pale baada ya Lissu kuitisha maandamano yasiyo na kikomo hakuna hata aliyemjali. Kauli ya kuitisha maandamano ya Mange kimambi naweza kusema ilisikilizwa kuliko ya Lissu.
Kwaujumla Lissu wananchi wamemkataa.

Sehemu kidogo ambapo upinzani wanajaribu kurusharusha miguu ni kwenye mitandao. Na Wengi wamitandaoni hawapo nchini.

Uraiani hakuna kitu kinachoitwa upinzani na raia hawajutii kuwakataa wapinzani.
 
Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwa
CCM wenyewe wameshindwa kushangilia kabisa maana hii dhambi inamtesa kila mtu
 
Baada ya kuwekewa vikwazi vingi ndio hapo mtaanza kuandamana na kumtaka atoke, nyie peke yenu bila kushurutishwa......

Kisha mtaangwa mkono na UN na watu wengi watauwawa lakini mwisho wa siku atatoka tu..
Bora hii itokee
 
Kazi imefanyika kubwa sana nyuma ya Lissu tupo wengi tena wenye akili timamu sio hao kuku kishingo wa lufumba. Vilevile dawa ya jeuri nj kiburi ngoja tuwanyonyoe.
 
Basi tuendelee kugonga glasi
Yaani huo ndo ukweli saivi dunia ni global village ndugu yangu, na global market ni too competitive. Global financial flow haitegemei tena ulaya wala U. S. Flow of capital and technology inaweza kutoka ASIA pia. Ni hayo tu.
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.

SEMA mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie. Lol
Nini maana ya mnyonge huwa nashindwa kupata tafasiri
 
Hahaha kaiba kura wapi...kwa hiyo kaiba na mawakala wenu wameshirikiana...leteni mahesabu ya mawakala wenu tuone..msidhani watanzania wajinga...mnaweweseka tu shwainnn..
Haya Kama wewe na mmeo na wanao mtaenda chamwino nendeni...tu..hapo ndipo mtawajua watanzania..wakati huo serikali itakuwa imekaa pembeni inaangalia
Hili neno "watanzania siyo wajinga" imekuwa kama korasi, halikosekani kwenye kila mstari wa maandiko yenu.

Hua mnawasema watanzania gani hao?
 
Siku mbili kabla ya uchaguzi Lissu alituambia wameweka mawakala nchi nzima zaidi ya 80,000.
Na kwataarifa ya tume nchi nzima kulikuwa na vituo 82,000.
Leo upinzani wanadai wameibiwa kura, serious?
Hao mawakala walikuwa wapi? Kwanini wasituwekee hapa form za mawakala ambazo zipo tofauti na matokeo ya tume iliyoyatangaza ili sisi kina Tomaso tuamini?
Ugumu upo wapi kwenye hilo?
Malalamiko mengi ya kuibiwa naona yapo kihisia tu.
Ukweli utatuweka huru. WaTZ wamewakataa wapinzani. Kauli za mgombea Lissu ktk kuomba kura hazikuwa za kiungwana na ndie aliyewanyima viti vya ubunge wapinzani.
Asitafutwe mchawi!
 
Usiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu...Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia...
Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote...
Inamaana hamjaona matamko ya US,UE na nchi mbalimbali mpaka Japan?
 
Back
Top Bottom