Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

Kwa nini waliovuruga uchaguzi wanapongezwa lakini wanaolalamikia waovu ndio wanaopigwa na kutukana na kuitwa wasaliti?

Ukiangalia wanufaika wakuu wa Rasilimali za nchi hii ni makada wa CCM ambao wameweka sheria za kujilipa mamilioni ya pesa kupitia sasa . Wao wamejiwekea kila aina ya Mazingira mazuri ya Kujilimbikizia Mali kupitia Madaraka wanayopeana kwa hila.
Ni vema wananchi waamke na wajue kuwa adui wa maisha yao ni Mabeberu wa ndani ambao wanatumia nguvu kuwachagulia viongozi.

Serikali za mitaa pia waliweka viongozi kwa nguvu na hatujaona faida ya kuwaumiza watu nchi nzima ili CCM ishinde viti vyote vya serikali za mitaa.
Nini faida ya ule uchaguzi usiozingatia matakwa ya wananchi.?
Tumeshuhuidia tena neno haki likipigwa marufuku kutamkwa mpaka ndani ya nyumba za ibada kwa sababu tu kuna wapinzani wanaomba nchi iongozwe kwa haki na Uhuru.

Wale waliovuruga uchaguzi wakemewe kwanza ndipo na wale wanaoitangaza nchi vibaya basi nao wakemewe. Lakini kuwaacha watu wabaya waendelee kuvuruga demokrasia ya nchi na kuweka Nchi kwenye ramani mbaya duniani itakua ni kuwapa watu waovu raha kupitia uhalifu wao.

Historia haijawahi kuacha kuutangazia ulimwengu ubaya wa matendo ya watawala tangu enzi za mababu.
Lisu kuutangazia ulimwengu mabaya ya serikali ni kuweka sawa kumbukumbu za watawala ili wakati wa kuwajibika kwao na familia zao utakapofika hata kwa kulaani matendo yao kwa vizazi vijavyo basi wasisahaulike . Mazuri yao yatatangazwa dunia nizma lakini na mabaya yao pia hasa yanayohusu kumwaga damu za watu maskini wakati wao ni mabilionea kwa mgongo wa madaraka.

Haiwezekani miaka yote mitano Chaguzi zote mpaka zile ndogo kanisa zivurugwe makusudi tena kwa kuumiza watu halafu watu wakae kimya.
Bimadamu hajaumbwa kama mnyama ngombe au punda .Maana punda ndiye akipewa majani basi atavumilia mijeledi na kubebeshwa mizigo bila kukumbuka kumtandika MTU mateke na kukimbilia zake porini awe huru kula majani anayotaka bila mijaeledi. Binadamu sio Mnyama anawaza kutendewa wema na ukimtendea vibaya makusudi anahitaji kuombwa msamaha na usipojali na kuomba msamaha atatafuta namna ya kulipa kisasi hata miaka mingi ijayo .

Nimesikia Kuwa nguvu itaendelea kutumika kulinda Siasa na mipango ya CCM kujipa amani ya kula kodi za watanzania na kuwafanya wabunge wawe mabilionea. Ni kujilisha upepo kama Nusu ya wananchi wanachuki na kundi lingine nadhani hao watakua ni Shamba lililolimwa kataikati ya pori la Ngedere.
CCM bila upinzani wenye raha na amani watapata tabu sana na mwisho hautakua mwema hata wangejichekesha kwa kiwango gani. Wameshinda kwa hila basi wasimshike kipofu mikono ili wale kimya kimya lakini wakiwatukana waliowadhulumu mwishowe watu watawaza vibaya zaidi.

Ethiopia kimenuka kwa sababu ya ubinfsi wa viongozi usiowaza shida za watu walioko nje ya madaraka.
Wabunge wa CCM na watawala na majaji hawajui shida ya umaskini wa watanzania mana vipato vyao ni vikubwa. Wanahitaji kuona mabarabara mazuri mijini ili wapite kwa raha zao mana kila siku wapo barabarani na maVX V8 kwa kodi za watu wasio na maji safi wala Barbara vijijini .
Wanataka maviwanja ya ndege mana wanasafiri na ndege na familia zao kila siku.
 
Baba anasema sisi ni matajiri - tembea kifua mbele!! hili taifa ni dona country ila Wazungu hawajatugundua tu.
 
Usiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu.

Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia.

Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote.
Uji umekunywa lakini?
 
It is Lissu against wananchi wazalendo...Sasa sijui hapo Nani atakuwa mshindi. Hakuna Cha wafilisti Wala mabeberu..Mungu ameshaibariki Tanzania zamani.tatizo la .Corona ni sura mojawapo ya uwepo wa Mungu Tanzania..Nani zaidi ya Mungu. Mungu ndio ameusimika utawala wa JPM..nenda kokote mpaka jehanam Kama utamshinda...msiwachukulie poa watanzania mkadhani Ni wajinga..endeleeni kupiga kelele wenzenu wapo uchumi wa kati wanendeea kupeta tu..
Huyu anaweza kuwa na PhD naye.
 
Zanzibar mpaka sasa ninapoandika hapa kuna wananchi wanazid kuuwawa na kuteswa na watu wanaojiita mazombi
 
Hata huko Ulaya na Marekani raia waliteseka na kufa hadi kufikia pale walipo sasa.

Kwahiyo tujiandae kisaikolojia maana CCM wameamua kutufikisha hapa
 
Niwe mkweli hili la vikwazo sikubaliani nalo maana litatuvuruga familia kwa sababu mwisho wa siku zitakazoumia ni nyasi,bora wafikilie kukata misaada tu wanayotoa kuliko kuweka na vikwazo juu la sivyo maccm yakubali tu kuuza migodi kwa bei chee ili kunusuru sie common people
 
Uchaguzi wa mwaka huu, ni kiboko, hauji kujirudia.
 
Bora wao wanapigana ili waheshimiane, na siku hizi chache watafanya uchaguzi nchini kwao. Ni wazi kuwa hawatakaa katika huu ukondoo tulionao sisi.
Maneno hayo anatakiwa aongeee mlibya ambaye ndie anapitia ile hali ila sio mimi na wewe mkuu tuliyeacha kuingia barabarani kwa sababu et sie tulitaka maandamano ya amani ila polisi wamezuia hivyo tukaona tutahatarisha amani.
 
Hao Libya walitawaliwa kibabe zaidi ya miaka 30 bila ridhaa yao. Bila wazungu bado wangekuwa wanaumia.
 
Bila wazungu kikundi cha watu weusi wenzetu (CCM) kitatutesa sana!
 
Tumezoea wizi wizi na ndio maana unaandika kukubaliana na wizi wizi.
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No.
Je Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.

Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.

Ujumbe kwa Lisu.

Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga

Mchuma janga....hulia na wakwao

Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
KWA kujibu swali la je mko tiyari ,
Jibu ,ndio Bora kufa maskini kuliko mazalau, hatuwezi zidiwa na machief mfano chief mkwawa,
Suluhu ,tume huru,katiba mpya, uchaguzi kuludiwa basi,ANGALIZO
SINA SHIDA NA JPM hata ikiwa miaka miambili Kama anakaa kwa mfumo usiokua na sitofaham ya uchaguzi,
Hawezekani Bora tulimie kucha na meno, basi,
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No.
Je Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.

Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.

Ujumbe kwa Lisu.

Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga

Mchuma janga....hulia na wakwao

Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
Tujulishe kama nawe mnufaika wa haramu.
 
Kudai HAKI it's about making SACRIFICES...

Kudai HAKI na USAWA it's about denying (kujikana) yourself...

Wewe hufai na huna sifa ya kuwa ktk harakati hizi..

Wewe, you're simply a WEAK and COWARD human being and you don't deserve to sail in one boat with brave and courageous people...

We are ready to sacrifice ourselves..

Laiti kama kina Mwl. Julius K. Nyerere wangekuwa na mawazo kama yako, waoga na dhaifu kama wewe, wasingejitoa sadaka wenyewe kwa ajili ya wengi, basi mpaka leo nchi yetu ingekuwa chini ya utawala wa mkoloni Mwingereza...!!

Laiti kina Nelson Mandela na wenzake wasingejitoa sadaka hata kukubali kufungwa gerezani kwa miaka zaidi ya 25 kwa ajili ya waafrika kusini wengi, basi SA ingekuwa bado chini ya utawala wa uonevu na ubaguzi wa rangi wa wazungu wachache...!!

Tundu Lissu is a pure example ya wapigania haki hawa wa zamani...

Alinusurika kifo kibaya na cha aibu cha risasi za SMG na AK47 zaidi ya 35 toka kwa watawala hawa waovu chini ya CCM...

Sababu ni ya kijinga kabisa. Eti anaikosoa sana serikali. Anamkosoa sana Rais Magufuli...

Ndugu, FREEDOM is about paying price. FREEDOM is about making SACRIFICES...

Get ready to make sacrifice. If you are WEAK and COWARD, go stay home and sleep...!!
 
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?

Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..

Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..

Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.

Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.

Kwann wazungu huweka vikwazo, moja Ni kuifanya serikali iwe unpopular Kwa wananchi ili waitoe madarakani! Je tujiulize Vikwazo walivyopewa Iran imechange serikali au chama? No.
Je Zimbabwe Vikwazo vilimuondoa Mugabe ? Au chama chake.. Na hizo kesi za ICC hamna chochote.. km wangeua mass murdering..hapo sawa.

Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.

Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.

Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.

Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.

Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
Baada ya Seif kupokonywa ushindi 2015; tulinyimwa trillion Zaidi ya 2 za umeme WA Rea..je unadhani madhara yalikuwa kwa Maalim Seif au Magu...no...Kwa Sisi tuliotaka umeme vijijini.

Ujumbe kwa Magu;
mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie.

Ujumbe kwa Lisu.

Lisu Kaka kumbuka yale maneno ya wahenga

Mchuma janga....hulia na wakwao

Chadema pelekeni wadada 19 wakatie Jamba Jamba kidogo. Maalim Seif kubali serikali ya mseto.
Mtoa mada hongera kwa Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri ,,kuna baadhi ya majinga huwa yanadhani vikwazo vitamuathiri JPM au CCM peke ake bila kujua vikwazo ni Rungu kwa watanzania wote

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Zimbabwe wamekaa kwenye vikwazo for how Long..sitaki msoto.. na watoto Wangu Kwa miaka 50

Whether unataka ama hutaki, njia iliyochaguliwa kuipitia basi sharti uipitie tu..

Hata Zimbabwe watu kama wewe wapo, lakini hawana uwezo kuzuia yanayotokea mpaka watakapotambua kuwa, chanzo cha maumivu yao ni viongozi wao...!!
 
Mtoa mada hongera kwa Uzi mzuri sana wenye ujumbe mzuri ,,kuna baadhi ya majinga huwa yanadhani vikwazo vitamuathiri JPM au CCM peke ake bila kujua vikwazo ni Rungu kwa watanzania wote

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Unafikiri hatujui?

Wewe unapomeza dawa chungu ya chloroquine kwani unakuwa hujui kuwa ni chungu?

Obviously, utakuwa unatambua lakini shida yako inakuwa upone malaria yako...!

Tutameza tu ili tupone..

Hakuna atakaye KUFA. Kifo ni kichungu kwelikweli..

Lakini Yesu Kristo alikubali kufa ili aokoe wengi...

Ili kutuondoa ktk fikra hizi, hebu toa alternative way kuondokana na uongozi huu wa kujiweka na wa mauaji..
 
Whether unataka ama hutaki, njia iliyochaguliwa kuipitia basi sharti uipitie tu..

Hata Zimbabwe watu kama wewe wapo, lakini hawana uwezo kuzuia yanayotokea mpaka watakapotambua kuwa, chanzo cha maumivu yao ni viongozi wao...!!
Ok
 
Back
Top Bottom