Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

Duh..., umemponza mhudumu wa watu!. Jifunze kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source
Wacha ushenzi wako wewe mnafiki mkubwa... Naona bado unaishi zile zama diktekta uchwara aliyefukiwa juzi...Eti umemponza,.... Unafikiri izi ni zile zama za kisema ukweli na kuitwa msaliti au umetumwa na mabebebru... pole yako... Manfiki wa kiwango cha SGR... NAona MATAGA bado mpo kwenye denial
 
Duh..., umemponza mhudumu wa watu!. Jifunze kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source", kitendo cha kujuana na mhudumu wa ndege ni something big, hukupaswa kumtaja na siku zijazo hata kumegea tena info, ila vile vingine utaendelea...
P
Mganga wako tapeli kakulia hela jiwe anaoza kaburini.uteuzi hujapata so sad
 
Laiti wakubwa wangezingatia ushauri wako tusinge haribikiwa.
 
Back
Top Bottom