Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

sasa nyie mnatakaje? tatizo hamkuzoea mambo makubwa mlizoea tanzania iliyo shindwa kila kitu...unataka kuniambia serikali hawajui hayo? unadhani CEO wa ATCL hajui hilo....kwahiyo hasingenunua dreamliner unadhan bombardier wana ndege nyingine za masafa marefu kama boeing....kwahiyo tufanyeje tusilifufue shirika kisa gharama ni kubwa..husione vyaelea vyaundwa...ila katika vitu ambavyo magu hatutamsahau kama taifa ni kufufua ATCL.....ipo siku tutamkumbuka jamaa kafanya kazi kubwa mbona kikwete kwa miaka10 hata Q400 ilimshinda?
 
Hili ndege ni mzigo tu kwa sasa na tusipokuwa makini utakuwa ni mzigo wa muda mrefu.
 

Tatizo lako unaangalizia mpaka mwandiko.
Hivi unaelewa strategy za competition, hahaha kujipambanua kuwa tofauti na wengine ni advantages.

Siamini kama hoja elementary kama hazikufikiriwa mapema. Prof Mbarawa ni Engineer tena aliyebobea toka Majini mpaka Angani.

Hebu pia cambia za kuwa na dreamliner straight kutoka Detroit to Dar vs Boeing.

Tufike mahali tuwaamini watanzania wenzetu wafanye kazi tumeona nia yao.ni.nzuri.na kweli.wamekusudia kuinyanyua hii.nchi kiuchumi
 
huwezi ku maintain fleet communality wakati shirika limeanza upya.Boeing au Airbus hawatengenezi ndege ndogo kama bombardier.Ilibidi tuanze na ndege ndogo
Kupanga ni kuchagua,zikifika 20 tutauza bombardier tuchague ama Boeing au Airbus
 
mkuu huu uchochezi
Una mpingaje mheshimiwa?
Ngoja vijana wake waje kukupinga..
Ila hongera umedadavua vizuri
 
Mkuu usinishambulie,tujadiliane tu kwa hoja;tukosoane kwa staha...Wote tuna lengo zuri na nchi na ATCL na hata serikali yetu.

Ndio maana ya "Forum",ni eneo la kujadiliana na kupeana mawili matatu!!Jenga hoja bila jazba tuelimishane
 
Unajua Generation zote za Bombardier?
 
Endeleeni Kushangaa ATCL kuzindua Safari za China, Dubai na US
 
Ninachoona kuna mawazo mazuri sana humu ndani...laiti serekali ingetengeneza forum nzuri ya majadiliano kutoka kwa wadau kabla ya kufanya maamuzi ingependeza sana ingesaidia kupunguza mashambulizi ya maneno maneno.....sasa hv ndege zinaonekana ni za serekali zaidi.....kuliko kuonekana ni za watanzania
 
Mkuu usinishambulie,tujadiliane tu kwa hoja;tukosoane kwa staha...Wote tuna lengo zuri na nchi na ATCL na hata serikali yetu.

Ndio maana ya "Forum",ni eneo la kujadiliana na kupeana mawili matatu!!Jenga hoja bila jazba tuelimishane

Sijakushambulia bali nimehoji hizo hoja ulizoweka.

Ndio maana.nimekuomba utaje pia faida za kuwa na dreamliner kujitofautisha na wengine.

Badala ya kuja negativities leteni hoja zilizo balanced sio kujifanya unaunga mkono hoja huku.unraveled upande mmoja
 
You are right
 
Mtoa mada yuko kitaalam zaidi, wewe unapiga domo tu, tunatakiwa tuwe wasomaji tu ktk mada tusizonaelimu nazo ili tujifunze.

Hakuna utaalamu hapo.ila.ni kupotezeana muda.

Utalaamu angeingia deep atuletee fuel consumption per given united, maintenance cost per given operation hours/age, Speed and comfortability, na analysis He wamarekani wanapenda nini.kati ata Dreamliner na Boeing hasa watalii.

Alivoviweka ni vitu vya kawaida sana hata mnunuzi wa daladala huwa anavifanya
 
Mkuu unasema Wamarekani wanapenda nini kati ya Dreamliner na Boeing??Sijakuelewa
 
nazifahamu zote taja bombardier ambayo inaenda masafa marefu kiliko boeing....acha kubwabwaja tu
Huwa sijadiliani na watu wenye lugha isiyo na staha...Asante
 
Ushauri mzuri lakini umechelewa, umeutoa wakati tayari maamuzi yameshafanywa na mikataba imeshaingiwa nadhani. Km bado, better wazingatie ushauri wako mtoa Post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…