Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa lako huko ublg linaugulia v dndaMimi ndio maana sisigeme R.I.P hawa watu wanapotangulia mbele za haki.
Huyo ni muuwaji kabisa.Yaani akiwa anatokea kwenye uzinduzi maeneo ya banana kuna njia ya kutokea kinyerezi wakafunga barabara kwa SAA kaza ila baya zaidi hadi GARI za wagonjwa zimezuiliwa yaani hawajali hata wagonjwa mbwa kweli hawa
Mkuu punguza hasira.....sio mbwa ni majibwa kabsa tena koko
wako wapi watu wema wa enzi hizo kama mama Teresa? wote pia walisha tanguliaMkuu punguza hasira.....
Yuko wapi Iddi Amin Dada??
Yuko wapi Mbotu Sese Seko??
Yuko wapi yule mbabe mwingine Mfalme Bokassa wa Afrika ya Kati??
Wote hao walifurishwa kutoka kwenye nchi walizoziona "zao" na baadaye Mungu akawapenda zaidi na wamezikwa na watu wasiozidi dazeni moja!
Kila chenye mwanzo duniani hakikosi kuwa na mwisho
Mkuu hiyo mifano tu unaonyesha una hasira zaidi ya huyo uliyemwambia apunguze.JIWE hilo.TUTUBU.Mkuu punguza hasira.....
Yuko wapi Iddi Amin Dada??
Yuko wapi Mbotu Sese Seko??
Yuko wapi yule mbabe mwingine Mfalme Bokassa wa Afrika ya Kati??
Wote hao walifurishwa kutoka kwenye nchi walizoziona "zao" na baadaye Mungu akawapenda zaidi na wamezikwa na watu wasiozidi dazeni moja!
Kila chenye mwanzo duniani hakikosi kuwa na mwisho
halaf akipewa maiki anaanza eti mimi ni "Laisi wenu, mimi ni laisi kwelikweli wa wanyonge"Yaani akiwa anatokea kwenye uzinduzi maeneo ya banana kuna njia ya kutokea kinyerezi wakafunga barabara kwa SAA kaza ila baya zaidi hadi GARI za wagonjwa zimezuiliwa yaani hawajali hata wagonjwa mbwa kweli hawa