Kweli maisha mzunguko! Dogo Janja awapigia magoti TipTop na kuomba msamaha

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo, Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game, Kundi la Tip Top la Manzese.

Dogo Janja Amesema kuwa Yeye anachotaka ni kumsamehe kwa kila kitu kilichotokea kati yake na hilo Kundi..

Ikumbukwe kuwa Dogo Janja Aliondoka kwenye kundi hilo miaka miwili iliyopita kwa kudai ananyanyaswa na kudhulumiwa kimaslahi, aliondoka kwa mikogo mingi sana na Kuchukuliwa na Ostaz Juma na kuingizwa Mtanashati ambao kwa sasa inaonekana wamefulia mbaya kwani hakuna kinachoendelea kwenye kundi hilo mpaka kufikia Dogo Janja kukumbuka Tip Top..

Hili liwe Funzo Kwa Wasanii!
 
Usimtukane mamba kabla hujavuka mto...na kumbuka za mkwezi mbili
 
Wampeleke kwa dentist kwanza, halafu ndo walete habari zake hapa.
 
Eee hiv hua hawawez kujisimamia wao au,?wanakua hawana pesa ya kushoot video ninii bora wafanye biasharaaa
 
Hahhhajha we siku hiz sikuwez tulichafua hali ya hewaa kule kwenye chemistry ya nyani ngabu ukapoteaa lol,?

Mkuu kuna watu unaeza bishana nao ukaharibu siku yako, dawa ni kustop notifications tu na kusepa




Sent from Nokla using Jf app
 
Hahahahahahahaa lusungo bana




Sent from Nokla using Jf app

Nakumbuka siku ile we ndo uliniita kule kuchafua Hewa ukakimbia na Dinazarde nae walitaka kumzidi nguvu ila baada ya mimi kufika upepo ulichafuka mpaka wengine waliishia jela..

Ha ha ha ha siku nyingine ukiniuzia ugomvi sinunui aisee khaaa
 
Last edited by a moderator:
Ananikumbusha enzi za Muumini Mwinyijuma na Wanatamutamu to Mchinga Sound then akarudi kwa mbwembwe.
 
Asome kwanza mzk baadae hasijejuta tena baadae coz akil yake haijashkamana
 
Nakumbuka siku ile we ndo uliniita kule kuchafua Hewa ukakimbia na Dinazarde nae walitaka kumzidi nguvu ila baada ya mimi kufika upepo ulichafuka mpaka wengine waliishia jela..

Ha ha ha ha siku nyingine ukiniuzia ugomvi sinunui aisee khaaa

Umeona Jerry muoga halaf et yanatuambia mimi,wewe na jerry ni mtu mmoja hahahhahhhaha kumbe alikuitaa siku nyingine ikitokeaa ligi tunaachana nao tunaendelezas mistari ya injili tu ndio dawaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…