Kweli maisha mzunguko! Dogo Janja awapigia magoti TipTop na kuomba msamaha

Kweli maisha mzunguko! Dogo Janja awapigia magoti TipTop na kuomba msamaha

Umeona Jerry muoga halaf et yanatuambia mimi,wewe na jerry ni mtu mmoja hahahhahhhaha kumbe alikuitaa siku nyingine ikitokeaa ligi tunaachana nao tunaendelezas mistari ya injili tu ndio dawaa

Hapana wakati mwingine injili iwekwe kando watu wapate makavu yao....

Usichoke kuniita waletapo mbofu mbofu..
 
Hivi kwanini watu wa Arusha na Moshi wengi wana meno meusi?
 
Hivi kwanini watu wa Arusha na Moshi wengi wana meno meusi?

Point of correction ni waarusha tu hasa wsnaotoka Arumeru na sababu ni maji wanayo tumia na niwale waliokulia tangu utotoni ila ukienda ukubwani hauwezi kudhurika.
 
Point of correction Maji ya Arusha yana floride nyingi compare Na mikoa mingine
 
  • Thanks
Reactions: Dyf

Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo, Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game, Kundi la Tip Top la Manzese.

Dogo Janja Amesema kuwa Yeye anachotaka ni kumsamehe kwa kila kitu kilichotokea kati yake na hilo Kundi..

Ikumbukwe kuwa Dogo Janja Aliondoka kwenye kundi hilo miaka miwili iliyopita kwa kudai ananyanyaswa na kudhulumiwa kimaslahi, aliondoka kwa mikogo mingi sana na Kuchukuliwa na Ostaz Juma na kuingizwa Mtanashati ambao kwa sasa inaonekana wamefulia mbaya kwani hakuna kinachoendelea kwenye kundi hilo mpaka kufikia Dogo Janja kukumbuka Tip Top..

Hili liwe Funzo Kwa Wasanii!
Hii picha ilipigwa Arusha 2010. Uzinduzi wa Tigo pesa, Tripple A Arusha. Dogo alipagawisha sana na ndio Madee alimuona akaapa kumsaidia, na ndio ikawa kutoka kwa Dogo Janja, chalii ya ArChugga
 
Ramos on field and Ronaldo from the stands, Celebrating winning goal vs Depor [via MurallaBlanca]

CzctQxPXcAAI-2x.jpg:large
 
The team will be staying at Royal Park Hotel in Yokohama.

15439949_1405106896180733_8648946294884583903_n.jpg
 
Real Madrid fans singing before the Kroos corner "Team will score and Ramos will be the goalscorer."

AND HE ACTUALLY DID!!

 
Back
Top Bottom