Umeona Jerry muoga halaf et yanatuambia mimi,wewe na jerry ni mtu mmoja hahahhahhhaha kumbe alikuitaa siku nyingine ikitokeaa ligi tunaachana nao tunaendelezas mistari ya injili tu ndio dawaa
Wakati nasoma Id yako kidogo nikosee!
...why?...
Yah umri wake unamruhusu
Nilisoma haraka haraka jina lako nikaona kama papuchu. Samahan lakin mkuu
Hivi kwanini watu wa Arusha na Moshi wengi wana meno meusi?
Hivi kwanini watu wa Arusha na Moshi wengi wana meno meusi?
Hivi kwanini watu wa Arusha na Moshi wengi wana meno meusi?
bange ni mbaya sana
Hii picha ilipigwa Arusha 2010. Uzinduzi wa Tigo pesa, Tripple A Arusha. Dogo alipagawisha sana na ndio Madee alimuona akaapa kumsaidia, na ndio ikawa kutoka kwa Dogo Janja, chalii ya ArChugga
Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo, Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game, Kundi la Tip Top la Manzese.
Dogo Janja Amesema kuwa Yeye anachotaka ni kumsamehe kwa kila kitu kilichotokea kati yake na hilo Kundi..
Ikumbukwe kuwa Dogo Janja Aliondoka kwenye kundi hilo miaka miwili iliyopita kwa kudai ananyanyaswa na kudhulumiwa kimaslahi, aliondoka kwa mikogo mingi sana na Kuchukuliwa na Ostaz Juma na kuingizwa Mtanashati ambao kwa sasa inaonekana wamefulia mbaya kwani hakuna kinachoendelea kwenye kundi hilo mpaka kufikia Dogo Janja kukumbuka Tip Top..
Hili liwe Funzo Kwa Wasanii!
Nimeona kama papuch,,,, looohHaaaaahaaa nimekosa cha kuongea kuhusu huu uzi imebidi nikuunge mkono tu kwenye hoja yako na mimi nlishtuka hii ID.
Acha dharau mkuu hayo meno tunayapenda yalivyo aende kwa dentist kufanyaje kwel wew mwanaume wa darWampeleke kwa dentist kwanza, halafu ndo walete habari zake hapa.