Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitambi kinahusiana vipi na mtuSema siku hizi ana kitambi na minyama uzembe. Niliona kuna picha yuko na jamaa wanafanya jogging, ile haisaidii bila kubadilisha diet. Kama unakula bila mpangilio kwa vile chakula kinapatika, hata ufanye mazoezi vipi ni kazi bure huwezi kutengeneza shape na matokeo yake unaweza kuacha kwa kuvunjika moyo.
Ushauri: Ukitaka kupunguza uzito anza na diet sasa. Badilisha mfumo wako wa kula kuanzia hapo hapo ulipo na saa hiyo hiyo, usisubiri mpaka next week. Then mazoezi yanafuata.
ulichokiandika ndivyo nilivyokuuliza
Unaitwa ZARI LA MENTALI lilitokea wakati mi nna nja kaliiii.hyo sio photoshop hyo ni katka wimbo flani ivi wa profesa j na ilikuwa kitambo sana