Kweli maisha ni kama zali la mentali, sikutegemea kama angekuja kuwa mbunge wa CHADEMA

Sema siku hizi ana kitambi na minyama uzembe. Niliona kuna picha yuko na jamaa wanafanya jogging, ile haisaidii bila kubadilisha diet. Kama unakula bila mpangilio kwa vile chakula kinapatika, hata ufanye mazoezi vipi ni kazi bure huwezi kutengeneza shape na matokeo yake unaweza kuacha kwa kuvunjika moyo.

Ushauri: Ukitaka kupunguza uzito anza na diet sasa. Badilisha mfumo wako wa kula kuanzia hapo hapo ulipo na saa hiyo hiyo, usisubiri mpaka next week. Then mazoezi yanafuata.
 
kitambi kinahusiana vipi na mtu
 
Chadema umeiona ya maana sana?
 
From gheto to Mjengoni.......If Allah say yes,No body say no.
 
Hakuna mbunge wa chadema, ccm wala cuf, bali kuna wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Law of attraction! Chunga sana usemacho maana kwa mdomo wako mwenyewe unajiumbia maisha yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…