Kweli mapenzi ni mental disease

Kweli mapenzi ni mental disease

Kipindi nasoma shule, nilipata kumsoma jamaa anaitwa Plato. Sikumbuki mengi sana kumhusu, ila nakumbuka kauli yake "Love is serious mental disease" na hii nimeishuhudia mara mbili kama ifuatavyo:
* Hapo nyuma, nilitumwa na wazazi wangu niende kumlinda (spying/stalking) sister yangu ambae alikuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Alikuwa ameachwa na mchumba wake ambaye alikwishamleta mpaka home. Maisha yalikuwa magumu sana. She had everything: house, car, good job but all sounded nothing.
Nilikuwa napika hali, anakaa chumbani amejifungia, aliacha hadi kuoga na kubadili nguo. Nilipoona nazidiwa nikapiga simu nyumbani akaja mtu mwingine (sister) kumcheki.
Baada ya hapo nilienda kujiunga na shule. Nilikaa huko mwaka bila kumuona nilipomuona alikuwa ameshakuwa sawa. Lakini hataki kusikia neno mapenzi.


* Niliporudi shule ndo safari yangu ikaanza. Nilishadate na wadada kadhaa hapo nyuma lakini nilikuja kugundua wote hao nilikuwa nacheza. Hii ni baada ya kukutana na huyu shemeji yenu aliyenifanya niandike uzi huu.
Nilimpenda sana tu mara ya kwanza kumuona. Kwakuwa alikuwa ni mgeni niliforce urafiki naye kwanza. Sikuchelewa nikatema swaga. Sikuamini kama ningetoboa. Lakini nilifanikiwa.
Muda ulivyozidi kwenda nilizidi kumpenda sana.
Tulipotezana miaka mitatu, nikaja kukutana nae tena. Lakini hiyo miaka yote nilishindwa kupata mahusiano ya kudumu. Kila mrembo niliyedate nilikuwa namchukia na kudhani namsaliti mpenzi wangu ambaye sijui yuko wapi.

Mpaka sasa napitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu. Nimekuja kugundua huyu mrembo wangu hanizingatii tena kama zamani. Nilidhani kwa kuwa tumepotezana miaka yote hiyo basi atakuwa amenimiss sana. Lakini mwenzenu sipendwi tena. Nimejaribu kila njia arudi kwenye line lakini nimekata tamaa.
Nashindwa kula, stress kibao tu. Imefika hatua nachukia kila mtu, napenda mziki ila sioni hata nyimbo za kusikiliza. Juzi nilianguka sababu ya kizunguzungu.
Lengo langu nataka nimsahau, tafadhari aliyewahi kupitia feelings kama hizi aliwezaje? Ni njia gani sahihi kumsahau mtu. Hata nikisema nifute picha na namba yake kazi bure kichwani taswira yake naiona. Mbaya sana hapa ninapokaa kuna jirani yangu anaitwa jina kama lake yani natamani kuhama.
Asanteni.
Screenshot_20241005-100643.png

Nilijua ni mtu mzima kumbe bado unasumbuliwa na makuzi
 
Nashukuru Sana kiongozi. I need a new version of me
Ingia Google andika neno hili mfupi utasahau kila kitu

Ili unielewe unatakiwa uende extra miles huwezi kunielewa km unatumia akili za kawaida

Ingia Google andika neno hili "vagabond" soma maana yake kisha anza kuishi hio lifestyle I'm telling you ndani ya muda mfupi utasahau kila kitu

Ili unielewe unatakiwa uende extra miles huwezi kunielewa km unatumia akili za kawaida
Thanks Sana. Ntadeal nayo nahitaji new version of me
 
Hakuna namna yeyote unayo weza kujinasua hapo nihadi ubadili
MTAZAMO👈fikra zako kuhusu mapenzi.
mtu mlie kutana duniani bila tarajio lolote leo hii uliweka tumaini lako la furaha kwauhakika ukidhani yeye atabeba jukumu hilo kwanamna unavyo dhani wewe!
hayupo mtu alie kuja beba sehemu ya vitu vyawatu hapa dunia.
furaha ya uhakika inaanzia ndani mwako kisha unaipamba kutokea
nj'e na wewe.
Kabisa
 
Ingawa ni kweli niliwahi pigwa tukio, lakini tayari nilishakuwa hivyo hata kabla ya kupigwa tukio.

Naweza nimtake mwanamke na akaja hadi chumbani, halafu nikamfukuza bila kumla.

Huwa napenda mwanamke aninyenyekee na ajishushe kabisa mbele yangu. Akijichanganya itakula kwake.

Na hii ndiyo sababu ya kushindwa kuwa na mchepuko wa muda mrefu. Nikimpiga leo ndo tuache mazima. Asinijue wala kuleta ukaribu.
 
ni ujinga na upumbavu wa kimataifa kumpenda mtu asiyekua na hisia kwako. unalazimisha mapenzi utaumia zaidi na zaidi. tambua kuwa #LOVE_LAVINHO.
 
Back
Top Bottom