Kweli mapenzi yananenepesha

Kweli mapenzi yananenepesha

Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.

Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.

Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.

Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?

Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.​
mkuu achana na wanawake, em tuendelee, vipi tufungue kampuni au viwanda vya uzalishaji nini?.
 
ww mwenyw unaweza usione huo mng'ao, Ubaya wa mahusiano ukiwa nae ww Kuna mambo mengi mazuri ww huyaoni kwake lkn wengine wanayaona, ukishakua na access na mwanamke kuna namna....
Huwa ipo hivyo Sana...basi ndo maana tunaombeana kuwa "vyuma chakavu" ukitokea mmwagano 😂
 
Back
Top Bottom