Kweli mashabiki wa nchi hatujui mpira

Kweli mashabiki wa nchi hatujui mpira

Lila mechi Ina plan take huwezi kucheza na simba alaf ukatymia game plan ya ulivyocheza na jkt tanzania
Game plan ikamsaidia vipi ili kuifunga Simba? Mbona maswali unajibu kirahisi hivyo? Haya sasa ili nione utetezi wako una mashiko, niambie ni vipi hiyo game plan ilikuwa na msaada ikiwa Yanga ndio imepoteza mchezo na kuzidiwa kwa kila kitu.
 
Game plan haiwezi kufaulu kila michezo ulitaka yanga acheze Kama anacheza na namungo wakati kwenye hiyo mechi ya Simba namba sita muhimili wa timu anaumia anaingia fredy ngoma ambaye Hana fitness nzuri na hajaclick na mfumo wa mwalim
 
Kuumia kwa mchezaji sio sababu ya kushindwa mchezo bali ni mbinu sahihi. Kwani mara ngapi tuliona Yanga inawakosa key players zaidi ya watatu tena kwenye mechi ngumu na timu inakuwa imara. Kwanini huyu kila inapoingia kipindi cha pili timu inapoteana?
 
Kuumia kwa key player ni miongoni mwa sababu za kupoteza mechi nitakupa mfano KIPINDI yupo kocha gamondi yanga ilipoteza dhidi ya tabora United kwa kumkoda Khalid aucho,ibrah baka.kwahy kocha manqoba akipewa mda ataonyesha uwezo wake
 
Huyo mpigwa miti aombe asifungwe wala kusare mechi yoyote kabla huu upepo haujapoa
Tofauti na hapo tutakutana ma taarifa kwa umma
 
Matokeo hayahesabiwi kwa idadi ya chance ulizotengeneza bali umezitumiaje hizo chances. Kule Botswana wale Gaborone walipata nafasi moja na ikawa goli, iliweza kutofautisha score board kipindi cha kwanza.

Nakupinga unavyosema matokeo hayapimwi kwa chance mfano we ni coach chagua timu moja.timu ambayo inacreate chance nyingi na timu ambayo inacreate chance moja per 90 minutes
 
Huyu kocha manqoba akifukuzwa Basi Simba apewe ubingwa kabsa
Yanga kapoteza point 3 mbele ya mshindani wake wa mbio za ubingwa na wakati kipindi cha awali ndio sehemu ya kuchukulia point ili kumfanya awe bingwa. Sasa ni kipi kinakufanya useme Simba apewe ubingwa kabisa kama Manqoba akifukuzwa, wakati tayari kaishainufaisha Simba mpaka sasa?
Nakupinga unavyosema matokeo hayapimwi kwa chance mfano we ni coach chagua timu moja.timu ambayo inacreate chance nyingi na timu ambayo inacreate chance moja per 90 minutes
Nimekwambia hakuna point tatu za kutengeneza tu nafasi nyingi bali ni kutumia nafasi. Kama mimi ni kocha naangalia namna timu inazotumia nafasi hata zikiwa ni chache. Na ndivyo mashindano ya klabu bingwa yanavyohitaji, sio kutengeneza nafasi 20 halafu goli 0 wakati wenzio nafasi 3 magoli 2 au 1. Halafu inawezekana wewe ukawa ni shabiki wa Simba hivyo unatamani kuona Yanga inapoteza ubingwa na klabu bingwa iishie makundi ama pengine upo kwenye malipo ya kusafisha uozo uliopo kwa mistake ya kumpa kazi kocha kiande.

Hivi haujiulizi kwanini wana Yanga walikuwa pamoja na wote wanaimba wimbo mmoja kuwa tumpe muda kocha kipindi cha Gamondi, Miloud ama Nabi hata kama timu inapoteza mechi au kupata sare? Ni kwasababu tunaona improvement ya timu. Lakini ukiona mashabiki wa Yanga kwa asilimia kubwa wanapiga kelele juu ya kocha basi ujue tunaona hakuna improvement ya timu bali timu inazidi kushuka ubora. Mfano mdogo tulipiga kelele kwa Folz mapema kabisa halafu uongozi ukatudharau mwisho wa siku wanafanya maamuzi mechi za klabu bingwa zipo usoni kabisa. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona, kuna swali nimekuuliza tokea juu. Je mwenzetu mechi nne za mwisho za Yanga ni kitu gani ulichokiaona kwa timu ambacho ni positive kinachoshawishi kuwa timu ipo katika mikono salama?
 
Yanga kapoteza point 3 mbele ya mshindani wake wa mbio za ubingwa na wakati kipindi cha awali ndio sehemu ya kuchukulia point ili kumfanya awe bingwa. Sasa ni kipi kinakufanya useme Simba apewe ubingwa kabisa kama Manqoba akifukuzwa, wakati tayari kaishainufaisha Simba mpaka sasa?

Nimekwambia hakuna point tatu za kutengeneza tu nafasi nyingi bali ni kutumia nafasi. Kama mimi ni kocha naangalia namna timu inazotumia nafasi hata zikiwa ni chache. Na ndivyo mashindano ya klabu bingwa yanavyohitaji, sio kutengeneza nafasi 20 halafu goli 0 wakati wenzio nafasi 3 magoli 2 au 1. Halafu inawezekana wewe ukawa ni shabiki wa Simba hivyo unatamani kuona Yanga inapoteza ubingwa na klabu bingwa iishie makundi ama pengine upo kwenye malipo ya kusafisha uozo uliopo kwa mistake ya kumpa kazi kocha kiande.

Hivi haujiulizi kwanini wana Yanga walikuwa pamoja na wote wanaimba wimbo mmoja kuwa tumpe muda kocha kipindi cha Gamondi, Miloud ama Nabi hata kama timu inapoteza mechi au kupata sare? Ni kwasababu tunaona improvement ya timu. Lakini ukiona mashabiki wa Yanga kwa asilimia kubwa wanapiga kelele juu ya kocha basi ujue tunaona hakuna improvement ya timu bali timu inazidi kushuka ubora. Mfano mdogo tulipiga kelele kwa Folz mapema kabisa halafu uongozi ukatudharau mwisho wa siku wanafanya maamuzi mechi za klabu bingwa zipo usoni kabisa. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona, kuna swali nimekuuliza tokea juu. Je mwenzetu mechi nne za mwisho za Yanga ni kitu gani ulichokiaona kwa timu ambacho ni positive kinachoshawishi kuwa timu ipo katika mikono salama?

Professor nasridine nabi alikuja yanga mwishoni mwa msimu wa 2020/2021 mechi yake ya Kwanza TU alipoteza vs Azam Kam unakumbuka kwa wakati Ule timu ilikuwa haichezi vizuri lakn akipewa muda wa kuijenga timu msimu wa 2021/2022 alifanya vibaya kwenye mashindano ya kimataifa alitolewa KATIKA hatua za awali kabisa na RIVERS United lakin akipewa muda msimu huo akachukua ubingwa wa ligi kuu .msimu uliofuata alifeli Tena kimataifa ligi ya mabungwa na kuangukia kombe la shilikisho na kufika final.point yangu NI kwanin tusimpe muda kocha manqoba Kama tulivyompa kocha nabi? .Kuna awali umeuliza performance ya timu kwenye mechi nne ambazo NI vs cff,Simba,geita gold na gaborone. United kwenye mechi nne kashinda mechi tatu kafungwa moja saw na asilomar mia 75 kwa timu ambayo ipo kwenye ujenzi wa timu no wastani mzuri
 
Angalia aina ya wachezaji waliowakuta Nabi vs wachezaji aliowakuta Manqoba. Nabi alikuwa na ufinyu wa wachezaji wenye ubora ila huyu ana zana nyingi tu za kazi. Tusiende mbali kote kwa Nabi ambaye alikuwa na wachezaji wengi wa kawaida sana, fikiria kwa Miloud je ilimchukua muda gani kaifanya Yanga iwe katika kiwango bora? Kwanini Miloud alitumia muda mfupi tena akiwa amekuja ikiwa mashindano yameshaanza lakini tuliona mwanga. Kwanini unataka Yanga irudi kupoteza msimu mzima ili tu kujipanga kwaajili misimu ya mbeleni?
Umeweka takwimu za kimaandishi badala ya kiuhalisia kama mtu anayeangalia mpira. Yanga ime struggle dhidi ya Gaborone na Geita na ilikuwa mashabiki tunaomba mwamuzi amalize mpira kwasababu Yanga ilizidiwa mno. Hiyo timu ya Madagascar tumeiona kiwango chao hata JKT wangeshinda mechi. Ni timu ya kawaida mno, hakuna cha kujisifu. Yanga imepata taste ya kiwango ambacho hakifanani na FAR Rabat, Mamelod lakini tumenyanyasika mno ndani ya uwanja. Vipi sasa tukikutana na mpinzani ambaye ni wa kiwango cha juu? Kama plan ya msimu huu sio kuchukua ubingwa wa ligi kuu na wala kucheza hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa basi ni sahihi kumvumilia huyu Manqoba hadi tutakapoona hali ni mbaya zaidi. Ila kama malengo ya timu ni ubingwa wa mashindano ya ndani na klabu bingwa kufanya vizuri basi huyu kocha hafai kwasababu ni kocha anayehitaji muda kama ulivyosema wewe. Kuchukua ubingwa unahitaji makocha aina ya Miloud ambao wako faster katika kuwasoma wachezaji wake kisha kuwajua namna ya kuwatumia.
 
Kumesema nabi alikuwa na wachezaji kawaida kuliko manqoba hapa nakupinga hicho kikosi Cha msimu sio hakina wachezaji wa kubwa kwenye nyanja za kimataifa alafu kingine utakubaliana na Mimi miloud hamdi ailiikuta timu imeshapata test ya fitness kutoka kwa saed ramovic aliongrzea vitu vichache ty nitakuquestion swalibmoja ty kipind nabi anakuja yanga Kama shabiki ilikuwa unafikiria kufika mbali kimataifa jibu kitakuwa hapan maana take ni kwamba kocha manqoba tunampa presha licha ya kwamba timu bado hajaclick kwenye mfumo anaoutaka kocha leo unamfukuza manqoba anakuja kocha mngine anasema Hawa wachezaji ciwataki namtaka bubs jameh alaf badae mnaanza kupig kerere
 
Kwamba kikosi hiki cha Nabi unakiona kina ubora unaolingana na hiki cha sasa? Basi utakuwa mpira unauangalia tofauti na wengine wanavyouangalia. Unasema kuwa Kocha Miloud aliongeza vitu vichache tu kwavile timu ilishapata fitness kutoka kwa Saed, kama unaona hilo ni jambo rahisi kwanini Manqoba amechukua muda mrefu kiasi hiki ikiwa yeye kaanza tokea preseason?

Kuhusu kuamini kuwa timu itafika mbali kimataifa chini ya Nabi, jibu linakuja lile lile, mpira ni mchezo wa wazi tuliona kabisa kupitia performance ya timu. Mwenendo wa timu ndiyo unaoshusha imani ama kupandisha imani
 
Attachments

  • IMG_20261019_151014.jpg
    IMG_20261019_151014.jpg
    163 KB · Views: 2
  • IMG_20261019_150947.jpg
    IMG_20261019_150947.jpg
    158.6 KB · Views: 3
  • IMG_20261019_150723.jpg
    IMG_20261019_150723.jpg
    162.8 KB · Views: 3
  • IMG_20261019_151014.jpg
    IMG_20261019_151014.jpg
    163 KB · Views: 3
  • IMG_20261019_150947.jpg
    IMG_20261019_150947.jpg
    158.6 KB · Views: 3
  • IMG_20261019_150723.jpg
    IMG_20261019_150723.jpg
    162.8 KB · Views: 5
Kwamba kikosi hiki cha Nabi unakiona kina ubora unaolingana na hiki cha sasa? Basi utakuwa mpira unauangalia tofauti na wengine wanavyouangalia. Unasema kuwa Kocha Miloud aliongeza vitu vichache tu kwavile timu ilishapata fitness kutoka kwa Saed, kama unaona hilo ni jambo rahisi kwanini Manqoba amechukua muda mrefu kiasi hiki ikiwa yeye kaanza tokea preseason?

Kuhusu kuamini kuwa timu itafika mbali kimataifa chini ya Miloud jibu liwe hapana kwa kutumia kigezo kipi ikiwa timu ilionesha kuimarika na tuliweza kuiona Yanga ina asilimia zaidi ya 80 kupata ushindi katika michezo yake? Nipe sababu zako za kuona Miloud hakuweza kutufikirisha kufika mbali wakati kwa muda mfupi aliokaa tuliona Yanga ikiwa bora.
Achana nae kolo huyo anakupotezea muda.

Yanga ni mbovu na sababu kubwa ni kocha.

Manqoba ni kocha duni wa level za pamba jiji na jkt sio level za Yanga.
 
Huyu jamaa kama sio Simba, basi itakuwa kuna namna katumwa kwaajili ya kumsafisha kocha. Halafu ID yake ni mpya na nyuzi zake ni kuhusu Manqoba tu yaani.
 
Halafu mbishi balaa.

Kocha mbovu ye kang'ang'ania kumtetea tu.

Hovyo kabisa.
 
Huu no ukweli mchungu lazima tuukubali kuwa suluhisho la yanga kufika malengo ya kimataifa NI kuendelea na manqoba ty na nimetoa facts hapo kwenye huo Uzi NGOJA NIWAPE SWALI MOJA kwanin nabi hakufukuzwa baada ya kufungwa na simba kule kigoma(2021) kufeli ligi ya mabingwa mala mbili mfululizo (alifungwa nje na ndani na RIVERS United msimu uliofuata alitolewa na alihilal omduman ) akaangukia shilikisho mechi ya Kwanza ty shilikisho timu ilicheza vibaya ikatoa sale hapa na club African .Kama uongozi wa yanga ungeamua kumfukuza nabi .je, yanga ingefika finali ? majibu tafadhari
 
Kwamba kikosi hiki cha Nabi unakiona kina ubora unaolingana na hiki cha sasa? Basi utakuwa mpira unauangalia tofauti na wengine wanavyouangalia. Unasema kuwa Kocha Miloud aliongeza vitu vichache tu kwavile timu ilishapata fitness kutoka kwa Saed, kama unaona hilo ni jambo rahisi kwanini Manqoba amechukua muda mrefu kiasi hiki ikiwa yeye kaanza tokea preseason?

Kuhusu kuamini kuwa timu itafika mbali kimataifa chini ya Nabi, jibu linakuja lile lile, mpira ni mchezo wa wazi tuliona kabisa kupitia performance ya timu. Mwenendo wa timu ndiyo unaoshusha imani ama kupandisha imani

Huu no ukweli mchungu lazima tuukubali kuwa suluhisho la yanga kufika malengo ya kimataifa NI kuendelea na manqoba ty na nimetoa facts hapo kwenye huo Uzi NGOJA NIWAPE SWALI MOJA kwanin nabi hakufukuzwa baada ya kufungwa na simba kule kigoma(2021) kufeli ligi ya mabingwa mala mbili mfululizo (alifungwa nje na ndani na RIVERS United msimu uliofuata alitolewa na alihilal omduman ) akaangukia shilikisho mechi ya Kwanza ty shilikisho timu ilicheza vibaya ikatoa sale hapa na club African .Kama uongozi wa yanga ungeamua kumfukuza nabi .je, yanga ingefika finali ? majibu tafadhari
 
Huu no ukweli mchungu lazima tuukubali kuwa suluhisho la yanga kufika malengo ya kimataifa NI kuendelea na manqoba ty na nimetoa facts hapo kwenye huo Uzi NGOJA NIWAPE SWALI MOJA kwanin nabi hakufukuzwa baada ya kufungwa na simba kule kigoma(2021) kufeli ligi ya mabingwa mala mbili mfululizo (alifungwa nje na ndani na RIVERS United msimu uliofuata alitolewa na alihilal omduman ) akaangukia shilikisho mechi ya Kwanza ty shilikisho timu ilicheza vibaya ikatoa sale hapa na club African .Kama uongozi wa yanga ungeamua kumfukuza nabi .je, yanga ingefika finali ? majibu tafadhari
Kwanza ujue kuna kitu kinaitwa hatua na wakati. Malengo ya kipindi kile ni kujenga timu na ndio maana mashabiki na viongozi tuliona ni sahihi kumpa muda wa kuijenga timu kwa kurudisha falsafa sahihi ya Yanga na kupitia wachezaji watakaowezesha kufanikisha hiyo project na ndio maana kulikuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya waliosajiliwa. Lengo ni kuziba ma gap yanayojitokeza. Hatimae project iliyokuwa inakusudiwa ikafikia hatua nzuri ya kimafanikio. Hivyo ni nini ambacho kinachotakiwa kufata?

Ni muendelezo wa kuimarisha kile ambacho tayari kimeshajengwa ( ku-polish) hivyo kocha yeyote anayeletwa hatakiwi kuvumiliwa msimu mzima bali anatakiwa kuhakikisha anaendeleza timu kupata mafanikio.
Hili uelewe kuhusu hatua na wakati, unatakiwa unijibu hili. Je Manqoba hajapewa malengo ya klabu katika msimu huu? Je katika hayo malengo hakuna ubingwa wa ligi kuu na klabu bingwa? Ikiwa hajapewa hayo malengo basi ni sahihi kusema kaja kujenga timu na sio kuendeleza mafanikio ya klabu. Lakini kama kapewa malengo, basi ujue kaletwa katika timu ambayo ilishasimama hivyo anatakiwa kuendeleza mafanikio ya klabu.
 
Kocha yeyote anayefundisha timu mpya kwake lazima apewe malengo ya ubingwa haswa timu hiyo ikiwa ni defending champion kwasababu inahitaji ubingwa huo Tena lakini kimataifa manqoba akipewa malengo kuwa timu ifike hatua ya robo finali manqoba akasema timu inauwezo wakufika finali means bado anaamini kwenye mpango.mashabiki wengi ukiwauliza kwanini unataka coach aondoke hana jibu la msingi atajibu kwa hisia tu nikuulize kitu kipi Bora ubaki na kocha aijenge timu na kupbania malengo ya timu au aje kocha mwingine alafu alete wachezaji wengine wakina bubs kipi boraaa ?
 
Kwani kocha mpya akija ni lazima aje na wachezaji wake? Maana umekazania hiyo hiyo ya Buba kama vile ni kitu cha lazima. Kocha anaweza kusema anahitaji mchezaji mwenye sifa zipi kisha uongozi ukamleta mchezaji wa aina hiyo kulingana na mapungufu ya kikosi kilipo. Sababu ya kwanini kocha aondoke zipo mbona. Pitia huu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/threads...igi-ya-mabingwa-makundi-itapata-aibu.2481146/
 
Back
Top Bottom