Kweli matako sio akili

Kweli matako sio akili

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Habari wana MMU, acha niwaletee hiki kisanga cha wiki.

Nikiwa zangu mjini kwenye harakati za kutafuta nguo za kupendeza, nakutana na demu niliyewahi kukaa nae kitaa kimoja miaka ya nyuma.

Bado alikuwa mdogo mdogo kipindi wanahama, lakini sasa mtoto amekua..

Ana nyama za kumwaga, yani zigo zigo kweli af guu hiloo!
Tukaongea juu juu mwisho nikachukua namba.

Tukaanza kuchat chat kwa siku kadhaa..

Sasa siku moja wakati tunachat, demu ananambia:

"Yaani Malcom sasa hivi nina madeni atari.. Hapa nadaiwa kama laki na nusu hivi na hata sijui nailipa vipi!"

Mtu mzima ikabidi nijiongeze:

"Sasa sikia, mimi nitakupatia hiyo 50 moja kisha utanipa mali kidogo niguse halafu yaishe.."

Ona alichojibu huyu mtu:

"Hee! Mpaka nimechoka! Yani kunisaidia kwenyewe ndio huko?
Hivi mwanamke kama mimi niliekamilika, tako tako, rangi ya mzungu.. Unataka kunipa pesa hiyo mbuzi kweli??"

[emoji23][emoji23][emoji23]

Message yangu ya mwisho ilikuwa hii:

"Hhhm![emoji23] KWELI MATAKO SIO AKILI"

Ni siku ya tatu leo tangu msg yangu ya mwisho kutojibiwa.. Hana hamu na mimi tena!
 
Weka namba tumsaidie,ww hunamoyo wa kumsaidia huyo bidada
 
Back
Top Bottom