Kweli mke wa mtu ni sumu

Kweli mke wa mtu ni sumu

Mke wa mtu nae ni mtu mzima mwenye meno 32 nae ana maamuzi yake.

Binafsi naona mkichapiwa wake zenu, mfikirie kuna kitu mtakua mnalega ndio maana umechapiwa na sio kuvimba na mchapaji ,sio suluhisho la kuepuka kuchapiwa🤔
Mkuu ni zaidi ya ujuavyo, kuna: kulipiza kisasi, kukinahiana, just a pleasure yaani kujifurahisha, pamoja na tabia za umalaya za mtu.

Hilo la kulega, linabebwa na kukinahiana, kwa sababu unakuwa hauna pressure ya kufanya mapenzi naye, kwa kuona hakuna jipya unaloenda kulipata kumlala mkeo au kwa mke hakuna jipya analoenda kugundua kwa mume.

Ndiyo ukatokea msemo... 'Kuku ni wako kwanini umshikie manati?'...
Au.. 'Wewe cha nini, mwenzako anawaza atakipata lini? '
Mi nikikuta ugoni mwanamke kashikwa, huwa simrushii lawama mume.
 
Mkuu tabia kama ngozi...
Alafu mpaka kushikwa hiyo ni kama ajari kazini tuu..

Mimi mkuu nikuambie sijawahi dakwa hata na bado napeleka show show...
😂😂😂😂
Mdogo wangu badirika aisee Mimi Kaka yako nakushauri utabeba magundu, mikosi na balaa ya watu. Mbaya zaidi unaweza ukajikuta unaingia kwenye 18 ukapakwa Kimbo na kurekodiwa 🤣🤣🤣
 
Mdogo wangu badirika aisee Mimi Kaka yako nakushauri utabeba magundu, mikosi na balaa ya watu. Mbaya zaidi unaweza ukajikuta unaingia kwenye 18 ukapakwa Kimbo na kurekodiwa 🤣🤣🤣
Mii hapa selewi kitu mkuu ...
Sikuelewi kabisa ujue 😂😂😂
 
Wakuu !
Habari za majukumu na mishemishe za maisha ya kila siku ?

Huu msemo wa Mke wa mtu ni sumu hakika ni kweli na ni sumu kweli pale utakapo ingia kwenye 18 za mwenye mke wake.

Kuna visa kama vitatu hivi nitavielezea hapa, viwili nimevishuhudia kwa macho yangu na kimoja nilisimuliwa na Mshikaji wangu ambaye ni fundi umeme.

Kisa cha kwanza nilicho kishuhudia kwa macho kilitokea maeneo ya Buguruni kama miaka 8 iliyopita. Ilikuwa hivi kuna Kijana alikuwa ni Mwalimu alikuwa akiwafundisha watoto wa Jamaa Tuition, kila siku jioni alikuwa anaenda kuwafundisha wale watoto, sasa baada ya muda kidogo jamaa akajenga mazoea na mke wa Jamaa na Jamaa mwenye mke alikuwa ni mfanyabiashara mwenye ishu zake Kariakoo. Katika mazoea ya hapa na pale Teacher akaanza kumla mke wa jamaa tena mle mle ndani na alikuwa na mazoea ya kwenda kujilia tunda muda wowote hata pale Watoto wanapokuwa wapo shule yeye amachukua bodaboda anaenda kushusha mzigo.

Siku zilienda mpaka majirani wakawa wameshitukia ule mchezo ikabidi wamtonye mwenye mke. Mwenye mke kwa sababu alikuwa anampenda sana Mke wake ikabidi ampige marufuku Mwalimu kuja kuwafundisha watoto tuition pale nyumbani.

Mawasiliano kati ya Mwanamke na Teacher yaliendelea huku jamaa mwenye mke alikuwa amewapa kazi Vijana ya kufuatilia nyendo za mke wake.

Za mwizi ni 40 tu, siku ya tukio na Mimi siku hiyo nilikuwa maeneo ya Buguruni kwa sababu nilikuwa na mshikaji wangu maeneo yale. Ilikuwa ni jumamosi mida ya saa 7 mchana wakati fumanizi linatokea tupo Bar na Mshikaji wangu mara kelele na vurugu za hapa na pale zikatokea.

Hiyo Bar ilikuwa na Guest House mle mle, ghafla upande wa guest house tukasikia kelele na vurugu, jamaa mwenye mke alikuwa ameweka mtego na akawa amewakamata mgoni wake na mke wake, Jamaa alikuwa analia sana kwa sababu baada ya kumfumania mke wake wake alipovamia alilizwa na ule mkuyenge wa ticha 🤣🤣🤣

Ticha alikuwa na mguu wa mtoto na jamaa aliuona live aliishia kulia kwa hasira sana. Kama mnavyojua fumanizi la Uswazi watu huwa wanajaa kama kuna harusi ghafla difenda la polisi likaja pale likawabeba Mwanamke na yule jamaa mpaka kituoni, baada ya hapo sikufuatilia tena.

Tukio la pili hili nilisimuliwa na jamaa yangu Fundi umeme hili lilitokea maeneo ya Mbezi Msumi. Kuna Kijana alikuwa anamla mke wa mtu yaani mwenye mali akitoka tu na mwizi wa mali anaenda kujipakulia mke wa mtu. Kuna siku jamaa kama bahati tu aliongea na mlinzi wake Mmasai akampa na hela na Mmasai akaropoka kuna njemba huwa inakuja hapa mapema tu saa moja au saa mbili asubuhi ukiondoka kwenda kwenye mishe zako, Jamaa akamwambia Masai chukua hii 5000 weka vocha akitokea tu huyo mwizi wangu nipigie.

Kumbe jamaa baada ya kuambiwa vile akawa amewapanga wale Majamaa ya Naccoz Camp Gym pale Mabibo kwa Mfaume Mfaume yule Bondia. Siku ya tukio la kukamatwa mwizi ilikuwa mida ya saa 6 mchana, Masai alimpigia Bosi wake na Bosi akawasiliana na wale jamaa wa Naccoz Camp wakavamia walimkuta Mgoni yupo na taulo tu sebuleni anasubiri kunywa mchemsho wa Kuku.

Jamaa alipovamia na wale Mabaunsa hawakuwa na stoy nyingi sana wale Mabaunsa walitengewa ule msosi na wakanywa na bia safari lager za kutosha.

Baada ya kushiba walimkamata yule mgoni walimshughulikia haswaa mpaka aliacha kinyesi na wakaambiwa Mke na Jamaa wapige deki. ( Hii ni story niliambiwa na jamaa yangu )

Tukio la tatu nililoshuhudia ni juzi mechi ya Simba na Yanga.

Kuna Mshikaji ambaye ki umri ni age-mate wangu tu (34, 35, 36) alikuwa na mazoea sana na Dada mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu huyo Dada ni muuza duka la mumewe. Mshikaji alijenga naye mazoea yaliyopitiliza mpaka wakati mwingine alikuwa anamkumbatia hadharani.

Aisee vile vitendo tulikuwa tunamwambia sana achana na haya mambo hata kama unakula huo mzigo usijionyeshe hivyo. Siku ya Jumamosi (Simba na Yanga Day) ndio walikuwa wamepanga wakapeane utamu. Kwa sababu yule Dada ni Msabato alikuwa hafungui duka.

Walipanga wakutane lodge na jamaa alikuwa na kimuhe muhe sana.

Demu alitangulia lodge na jamaa akamfuata yule Demu. Kufika lodge akampigia yule demu na demu akamwambia nipo room no fulani. Jamaa naye akaenda mpaka ile room akafungua mlango na kuingia ndani, ile anafunga mlango tu nyuma ya mlango alikuwa amesimama Mwenye mke na Chooni kulikuwa na Jamaa mwingine. Na Mwanamke alikuwa amekaa kitandani.

Lakini mpaka sasa huyu Mshikaji haonekani hapa mtaani na sijui ilikuwaje huko lodge, na Mwanamke yupo dukani anaendelea na kazi zake poa kabisa na yuko happy as usual.

Hitimisho:
Wake za watu hawafai Vijana wenzangu tuachane nao na tusiwe tunatengeneza mazoea nao hata kidogo. Unaona Mwanaume mwenzako anatunza na kuhudumia na wewe unataka mserereko acha kabisa mazoea na Mke au Mpenzi wa mtu ni hatari, fedheha na aibu.
Mke wa mtu mtamu bwana
 
Lengo ni kuhakikisha, ili ukimuacha ieleweke hujamuonea,,, kingine kaadhabu kidogo kwa mgoni wako ili na wengine mtaani wajifunze kutotembea na wake za watu, khs adhabu naomba nisielezee sana lakini kila mtu ana namna yake jinsi jambo lilivyomgusa kulingana na upeo wake
Ukimuacha hivi hivi huyo kidume atakua anatembea kifua mbele yeye anajua sana kugegeda, hivo lazima umtie adabu.
 
Mke wa mtu nae ni mtu mzima mwenye meno 32 nae ana maamuzi yake.

Binafsi naona mkichapiwa wake zenu, mfikirie kuna kitu mtakua mnalega ndio maana umechapiwa na sio kuvimba na mchapaji ,sio suluhisho la kuepuka kuchapiwa🤔
Usiombe mkeo awe ofisi moja na Engonga
 
Mnalombana Tu na wake za watu

Yangu macho

Ila Wapwa mke wa mtu mtamu "

Tuache hizi mambo asee
 
Sema wakuu haijakaa kiroho kabisa kufokoa mke wa mtu,ila nimefokoa kama 6 hivi,nikiri hawa ni watamu kuliko haya mawanawake yenye kei chafu na kubwa kama unalomber atmosphere, kuna mwalimu mmoja alikuwa ukimlomba anatoa povu,kei ya moto,analia vizuri,Afisa mmoja, akiwa anakojoa analia,huyu natamani hata nimuoe,kuna mmoja anabawasiri, sio mtamu saaana,kuna mmoja nimetandika sana garini,huwaga analia hata tukianza romance, kuna mmoja namfuata Dar soon,watamu sana hawa ila sasa nikiwazaga navyowapinduaga mpaka naona nyueleeei za matter core ni, nawaza sana kuoa
 
Sema wakuu haijakaa kiroho kabisa kufokoa mke wa mtu,ila nimefokoa kama 6 hivi,nikiri hawa ni watamu kuliko haya mawanawake yenye kei chafu na kubwa kama unalomber atmosphere, kuna mwalimu mmoja alikuwa ukimlomba anatoa povu,kei ya moto,analia vizuri,Afisa mmoja, akiwa anakojoa analia,huyu natamani hata nimuoe,kuna mmoja anabawasiri, sio mtamu saaana,kuna mmoja nimetandika sana garini,huwaga analia hata tukianza romance, kuna mmoja namfuata Dar soon,watamu sana hawa ila sasa nikiwazaga navyowapinduaga mpaka naona nyueleeei za matter core ni, nawaza sana kuoa
Usijali hata wa kwako utakuwa haujui anavyochakatwa wakati ukiwa na kazi zako.
 
Back
Top Bottom