Makonda enzi zake alikua na nguvu kuliko hata waziri mkuu kassimu majaliwa, hata makamu wa Raisi hakua na nguvu kuliko makonda, kinacho angaliwa ni connection yake mpaka kupewa hicho cheo, mkuu ni Tanzania sio Marekani, ambapo kuna constitutional ruleKati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?. Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?. Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
Kati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?. Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?. Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
Halioni hata aibu
Kwanini mkuu jina lina kosa gani, majalia ndo jina la hope kwa kiingereza au sio ndo Fortune?Mke wangu siku moja alimwita mwanangu Majaliwa tuligombana sana hadi sasa hatupo sawa
Shida sio jina tu mkuu ila mwenye jina hilo ambae alitakiwa awe mfano ndio tatizo🤣🤣🤣🤣Kwanini mkuu jina lina kosa gani, majalia ndo jina la hope kwa kiingereza au sio ndo Fortune?
Kwani ukilitumia ataambukiza mwanao, kama unaamini hivo mpe tu huenda mwanao pia akawa waziri mkuu.Shida sio jina tu mkuu ila mwenye jina hilo ambae alitakiwa awe mfano ndio tatizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni nani huyo ili kusudi nimuelekeze zuhura yunusi aapload pdf la tenguzi mara maoja, alaa??Kati ya Mhe. Waziri Mkuu na Mkurugenzi wa Halmashauri nani mkubwa?.
Kweli Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anadiriki kusema kuwa hatambui maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa yeye anatambua maagizo ya Mkuu wa Mkoa?.
Huyu Mkurugenzi hafai kuendelea kukalia kiti hicho na anatakiwa kuomba radhi na kujiondoa mwenyewe.
Ni heri makonda kuliko hilo bomu. Makonda ni kiongozi, na chini yake mambo yalikwenda. Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi wa Uma, wengine wana capacity ya kuongoza familia tu.hata makamu wa Raisi hakua na nguvu kuliko makonda
Yule ni dotto magari alichangamkambona Bob Mikwala Cha pombe katangaza kuwa akiamua kukinukisha na kuchomoa 'machine' huwa hamuogopi yeyote ( sio amiri nani wala nani)
Ushawai kumuita mwanao farao,iddi amini, Osama, Hitler au shetaniKwani ukilitumia ataambukiza mwanao, kama unaamini hivo mpe tu huenda mwanao pia akawa waziri mkuu.