Kweli Morocco ipo Afrika au tunajipendekeza?

Kweli Morocco ipo Afrika au tunajipendekeza?

INJECTION TECHNICIAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
356
Reaction score
794
Kwa position kama hizi siamini kama Morocco ni waafrika hawa ni Washington kabisa ni kosa kubwa Kuwa jumuisha kwenye bara la watu wa ovyo.
20221211_221728.jpg
 
Kwa position kama hizi siamini kama morocco ni waafrica hawa ni Washington kabisa ni kosa kubwa Kuwa jumuisha kwenye bara la watu wa hovyo.
Mfalme Mohammed V alitoa msaada pale Kinondoni umesahau? Pia atajenga uwanja wa mpira wa miguu Dodoma. Hawa ni ndugu zetu kabisa.
 
Back
Top Bottom