Kweli Msigwa unaandaa Press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile?

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.

Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka CHADEMA ambao ndiyo waasisi?

Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.

Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.

Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
 
Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka chadema ambao ndiyo waasisi? Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae. Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.
Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
Kwani Kasemaje?
 
Hii nchi imekuwa kama ya wendawazimu.

Kuna mambo ya aibu yanatokea halafu mtu anashupaza shingo kuyatetea hadi unabaki kushangaa kuwa amerukwa na akili ama vipi!

Yaani kama vile watu wamechanganyikiwa.
 
Ile kampeni yao ya Tunatiki imeishia wapi au vijana wao wameishiwa nguvu huku kwenye mitandao.
 
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.

Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka CHADEMA ambao ndiyo waasisi?

Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.

Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.

Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
No reforms no Election!
 
Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo c
FB_IMG_1749669116210.jpg
omedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.

Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.

Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
 
Vijana wao wamegoma kuendelea na kampeni yao ya Oktoba tunatik nahisi kuna jambo halipo sawa huko kwao
 
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.

Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka CHADEMA ambao ndiyo waasisi?

Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.

Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.

Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
Swali ni huyu Msigwa why mwampa kile asichostahili? Mwacheni ,taifa ni kubwa kuliko ya Msigwa mwacheni
 
Back
Top Bottom