Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Kwani Kasemaje?Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.
Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka chadema ambao ndiyo waasisi? Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae. Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.
Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
No reforms no Election!Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.
Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka CHADEMA ambao ndiyo waasisi?
Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.
Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.
Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.
Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are u serious ? Nini kosa lao? Mbona hujawasaka CHADEMA ambao ndiyo waasisi?
Umeshindwa kusaka watekaji na matapeli ya fedha za umma unakuja kutisha Watanzania wanaopigania haki na usawa. Kama siyo comedy ni Nini? Umejisahau sana lakini Mungu atakukumbusha baadae.
Hawa unaosema utawasaka wangelikuwa wanasema October tunatiki wala usingesema haya.
Acha kutisha watu hivyo bana. Wewe unapita tu kama walivyopita wababaishaji wengine. Shame on you
Swali ni huyu Msigwa why mwampa kile asichostahili? Mwacheni ,taifa ni kubwa kuliko ya Msigwa mwacheniUnajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.