Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,068
Bro bora wewe uliifanikiwa kuishi under one roof, wengine hata mzigo wananyimwa na wanasomesha then after years utasikia demu ana mimba ya jamaa mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kwamba chuo wanasoma hata wazee. Au ulijua wanasoma primaryMalezi yana kazi sana karne hii. Yaani wazazi wenu wanajua mko chuo mnasoma, wanajinyima, wanatuma pesa ili msome bila taabu lakini kumbe mnawekana kinyumba tu. Mnafunuana nyuchi zenu kama wehu.
Tulieni mjitengenezee baadae yenu iliyo nzuri.
Wakati mwingine usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi.
Mapenzi yanarun dunia, alafu ulitegemea MMU ukutane na story gani labda??Story nyingi za vijana ni mapenzi kunanini?????????????????? Kwanini vijana hawaji nakitu kipyaa kwenye jamiii yetu??? Kunachangamoto nyingi mno??
Umeshindwa hata kuisoma simulizi ya kijana mwenzio na kuielewa?Umekosa hata cha kumshauri maana hukuelewa na umeshindwa kutambua rika lake kutoka kwenye simulizi yake. Ukaona cha maana ni kuparamia michango ya wengine....!?Umesahau kwamba chuo wanasoma hata wazee. Au ulijua wanasoma primary