Kweli mwanaume hela, njemba imeumbuka mbayaaaaaaaaa!

Kweli mwanaume hela, njemba imeumbuka mbayaaaaaaaaa!

mi nakukubali kamanda, mi nafikiri ushauri wa jiran wa kununua gari usiufuate, manake ukinunua tu visa vya daladala kwishney
 
Wanaume kweli hampendani.

shida yake ni kule kujifanya mbabe sio kwa mpenzi wake bali hata kwa sisi abiria ili hali alijua hata nauli alikuwa anamtegemea mpenziwe ambaye tayari alikuwa anamuangushia kipondo.
 
mi nakukubali kamanda, mi nafikiri ushauri wa jiran wa kununua gari usiufuate, manake ukinunua tu visa vya daladala kwishney

Wewe unataka wanangu wanione zoba/****.wala usijali nikinunua itakuwa kwa mamsampu mie ntaendelea kukamua kwa daladala
 
hahahaaa aisee ni hatali sana,,makonda nao wakipata sababu weweeeee hasira zote za kupiga kelele na kutoa posho kwa trafiki atazimalizia hapo hapo.
 
Back
Top Bottom