Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.

Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na hatushuki mpaka mtu apate mimba. Hakuna kulala...

Simba wakishinda leo nipigwe banio.kwa mila zetu mwanaume hutakiwi kupigwa kwa mwiko wala banio la sufuria. Ni dharau. Ila kwa leo nipo tayari kabisa. Sioni mkia wakishinda. Sioni kabisa.
 
Sasa wewe ni uto au Ubaya Ubwela!?. Maana mara uwaponde yanga mara Simba!? Kuna na msimamo basi, unatuchosha.
 
Hujasoma upigwe ban ya muda gani au wakupige ban ya maisha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja nikusagie kunguni kwa mods
 
 
Jambo Zuri
Mungu Ibariki Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…