Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Ila mashabiki wa Utopolo hata sio Wana sports kabisa. Sasa mtu anaomba apigwe kibanio (😆) sijui ndio nini. Mashabiki wa Yanga mna shida gani kwenye Bongo zenu???

Kila mkililia mnapata mnachokitaka.
Active
celix
Moderator

Huyu Utopolo anataka apigwe kibanio mpigeni basi 🤣🤣🤣
Hiyo timu imejaza mashabiki oyo oya sana.
 
Angalia mashabiki hao nasijui kwa nini akatwi hayo makanyagio😆
IMG-20250202-WA0000.jpg
 
Halafu hawajui hata futbol na hawajui kuwa positive kabisaa na mara zote huwa wanaabika. Kifupi ni Mashabiki wa hovyo sana aisee 🤣🤣🤣

Kuna jamaa alitaka kunivunjja kioo cha simu kwa sababu ya ushabiki hoya hoya. Mpira sio mdomoni aisee
Tunasubiria points zetu 3 tena msimu huu tuchukue Kombe.
 
Halafu hawajui hata futbol na hawajui kuwa positive kabisaa na mara zote huwa wanaabika. Kifupi ni Mashabiki wa hovyo sana aisee 🤣🤣🤣

Kuna jamaa alitaka kunivunjja kioo cha simu kwa sababu ya ushabiki hoya hoya. Mpira sio mdomoni aisee
Ukiwa unatazama mpira mabandani kaa nao mbali unaweza dungwa hata kisu mkuu wengi ni hamnazo😆
 
Ishawahi tokea hiyo banda umiza ule mgoli wa Kibu Mkandaji nikashangaa kuona shabiki wa Uto anamwaga michanga kwenye banda
Yani wenye weledi ni wachache mno ndio maana mtu asiye na utulivu kama manara tulimtoa asee😁
 
Back
Top Bottom