What is cooking with you gals?????
What is cooking with you gals?????
kabla sijasema lolote kuhusu hii mada kusikia pm tu kuhusu ule mpango wetu masikio yooote yanasikilizia hiyo pm, haiji tu jamani? lol! haya jitahidi mamii ifike.
i recognize your concern...thanks alothili la boldini ni la msingi na sekondari!sawa fellow rev mother.
Kama madam gfsonwin umeliingilia hili swala natumaini majibu ya ukweli yenye busara kwa mpendwa wetu juu ya tatizo lake yanaenda kuisha.MUNGU AKUBARIKI DADA UKAENDE KUINUSURU NDOA YA MWENZETU.
waiting to hear from you mlongo wangu. Ila ingewezekana kutuma group PM ili tuchangie kwa pamoja, yaani kila anayejibu atume kwa wote ili tusome kila mtu anadsemaje, mambo ya kusema gfsonwin alisema hivi na baadae mwaJ au cacico au Kaunga akaijibu hivi yana-dilute kila kitu..... au mwaonaje?
:smile-big::crying:....HILO NALO NENO...kwanini huwa tunaamini sana kuwa kutoka nje ni mapungufu ya mwenza !
WAKATI MWINGINE HUWA TUNATOKA NJE KWA KUWA WENZI WETU NI WAKAMILIFU MPAKA TUNATAMANI KUFANYA DHAMBI TUWACHAFUE!mwanadamu huwa simwelewi kwa kweli!simwelewi kabisa!yani kabisaaaaaa!
i recognize your concern...thanks alot
binti, hakuna cha ushuari hapo, uamue ili mumeo aamue
hiyo ni vita kati ya wewe na huyo dada ambaye anaamini wewe ulimpora penzi,
sawa dada mkubwa! gfsonwin ndo mwenywe na makitu ya group messages atafanya tu mambo fasta ngoja kukae fresh !ila tupe pole wenzio hali yetu sio nzuri ujue!hizi 60% ziro tunazipeleka wapi!lol!
nyie wamama wenzangu..... kweli tukiendelea na mambo haya tunaweza tukamaliza kabisa lile tatizo la "ndoa za siku hizi hazidumu"yup!anytime mwali . true_diva huwa hatushushi mikono kirahisi hivo!
bidae tutafte chemba tufanye mpango! hakuna kulia lia hapa!
funga kanga chini ya tumbo twende kazi!
Thanks Mkwai,I working harder to keep the relationship healthy for my own happiness and my family as well especially the kids....I think I will combine all the advice,comments and suggestions to keep it alive,strong,happy and healthy.Kwa hatua iliofikia huenda umechelewa kiasi kuomba ushauri, kwa kuwa sasa utapaswa kutumia nguvu uweze kuweka mambo kwenye mstari.
1. Inapotokea swala kama hili la sms n.k unapaswa kuwa na msimamo, yaani onyeshwa kukerwa, na unapo uliza weka ule u dear kando; kuwa serious na usikubaliane na majibu mepesi. Ikibidi mwambie achague moja.
2. Lilipofikia nadhani unapaswa kuwahusisha wazee/viongozi wa dini unayoabudu, waeleze A-Z bila kuficha chochote.
Ukilichukulia mzaha swala hili mwisho wake litakuja kuleta athari kubwa sana kwako na familia yenu kwa ujumla.
Nafikiri mumewe ni mshenzi 100 times. Ushenzi na kiburi cha huyo dada kinapaliliwa na mumewe!
haswaaaa!sasa ngumi nipiganie cha kwangu!ah!wapi!nyie wamama wenzangu..... kweli tukiendelea na mambo haya tunaweza tukamaliza kabisa lile tatizo la "ndoa za siku hizi hazidumu"
kwani hao wa siku hizi wametokea wapi? si kwetu wenyewe? hawa ni mashina yetu, ni kwamba tu siku hizi yale mambo tuliyokuwa tunaambiwa hakuna kulia lia hayapo.
mimi naamini inahitajika push kidogo tu na kila kitu kitarudi kama kilivyokuwa zamani (bila kuhusisha ngumi za barabarani, lol)
kwanini huwa tunaamini sana kuwa kutoka nje ni mapungufu ya mwenza !
WAKATI MWINGINE HUWA TUNATOKA NJE KWA KUWA WENZI WETU NI WAKAMILIFU MPAKA TUNATAMANI KUFANYA DHAMBI TUWACHAFUE!mwanadamu huwa simwelewi kwa kweli!simwelewi kabisa!yani kabisaaaaaa!
believe me mlongo wangu nimesoma hayo matokeo huku machozi yananitoka.......sawa dada mkubwa! gfsonwin ndo mwenywe na makitu ya group messages atafanya tu mambo fasta ngoja kukae fresh !ila tupe pole wenzio hali yetu sio nzuri ujue!hizi 60% ziro tunazipeleka wapi!lol!
ila shetani kweli anatucheza pabaya hivi kwa familia na baba wa aina hii na mama anayekosa amani kiasi hiki kuna mtoto anayesoma kweli?
uuuiwh!jamaani jamani!maumivu tunayowasabishia wenza wetu yanaathiri na kula kwetu pakubwa sana basi tu huwa hatuangalii mambo kwa jicho la tatu!
Thanks Mkwai,I working harder to keep the relationship healthy for my own happiness and my family as well especially the kids....I think I will combine all the advice,comments and suggestions to keep it alive,strong,happy and healthy.
he he heeeee, umenikumbusha hii.......haswaaaa!sasa ngumi nipiganie cha kwangu!ah!wapi!
wapo wanaipswa kupigana ngumi sio mke aliye ndani!
ntawashukuru sana wapendwa mkiniokoa mwanamke mwenzenu katika hilo naamini tukiunganisha mawazo,michango,maoni,akili na nguvu zetu kwa pamoja itanisaidia kuokoa ndoa yangu na watoto wangu pia na kuilinda familia yangu dhidi ya aibu na fedheha na zaidi katika yote naamini nitajifunza mengi kutoka kwenu...nashukuru sana snowhite nafikiri basi tukae nae sote mm na wewe mamii manake tunajijua jinsi tulivyoshibishwa ile roho ya umama.
huyo dada naye kama siyo kichaa basi ni mwendawazimu........Kwa nilivyo observe so far kwenye ndoa nyingi (but sio zote) mmoja akitulia sana mwingine ana gain confidence ya kufanya madudu. Kuna dada alidiriki kusema hata mume wake akijua ana-cheat hawezi kumuacha kwa sababu hana mwanamke wa nje.
Haya mambo ni kitendawili.