Mak Jr
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 442
- 313
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elimu bure arudi shule tuLabda asaidiwe kuandika kwanza
Nakuzoom tu........Umeandika vibaya mkuu!! Au siku hizi herufi zilikwisha kubadilika huko shule za kayumba!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpige kofi huyo aamkeMkuu utakua unaota ndio maana hata mwandiko wako haujatulia.. embu amka mkuu ukafanye kazi za kuingiza kipato
Na we we umekuja kuchafua hali ya hewa kwa XXX zako hizo,kama jf huwezi baki fb huko hukoxo xx tufanye nn xaxa
Mkuu naona siku hizi, umemrithi mkuu Jose....tukusaidie nini sasa kula umekula ww
Mbona umemalizia kwenye heading .......Mwaka 2012 nilikuwa nina demu.tunapenda lakini alikuwa kicheche.kuna Siku alitoroka nyumbani kwao.nikapata simu kutoka kwa mama yake anaulizia kama mtoto wake yuko kwangu ni nikajibu sijamuona kama week.mida mama yake akaja sehemu ninayo fanyakazi akaniomba tukamtafute mitaani kukamtafuta mbaka mida ya jioni.tukiwa tunarudi mtaani kwetu..mama MTU akaniuliza ni kupe zawadi ngani Sikujibu.tena akaniuliza mtoto wake no mtamu.nikatulia akaniambia nikukupa utaweza so ndio mwisho simalizii
Naona huwa unavizia, uiona flani is typing .....aki post na wewe umo
hiyo allert ya mtu kutype ciipatagi mkuuNaona huwa unavizia, uiona flani is typing .....aki post na wewe umo
Sent using Jamii Forums mobile app