Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???Nimesumbuka 52 days kubadili cozi imeshindikana,until nimefkri kupost pond mwaka...wewe ukiwa kama grt thinker jf unanishauri nini?
alikua anajipa moyo sasa kaona ni mziki mnene...Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???
mi naamini uko SAU!! wewe si ndio ulikuja hapa jukwaani na kuanza kufagilia bioprocess engineering na BVM au nimekufananisha??? sasa leo kwa nini unalalamika unataka badili kozi???
ushauri wangu...
FWATA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA!!
Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???

alikua anajipa moyo sasa kaona ni mziki mnene...
Ulipangwa kozi gani na ulitaka kuhamia kozi gani mkuu.
Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???
mi naamini uko SAU!! wewe si ndio ulikuja hapa jukwaani na kuanza kufagilia bioprocess engineering na BVM au nimekufananisha??? sasa leo kwa nini unalalamika unataka badili kozi???
ushauri wangu...
FWA?TA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA!!
Hahahaa endelea na kozi yako uliyopangiwa....
acha kumdanganya mwenzako afuate malengo yake we we.......
angalia upepo kaka........we we move kule opportunity zinapo move we we.
nimekuelewa mpigamsuli,lakn nasoma BPE Cna mkopo,for 4 yrz,..then nimalize still bado nikae home natafuta ajira,so i want FST kwanza ni miaka mitatu,then ajira zake za uhakika
BPE ulienda kwa combination ipi? halafu unataka kwenda food science kwa vigezo vipi? unajua wewe usitake kulazimisha maji yawashe jiko la mafuta halafu mafuta ya taa yatumike kama maji ya kunywa!!