KwELI NIMEAMINI CHANGE OF DEGREE PROGRAMME[COURSE] IZ NOT AN OVERNIGHT PROCESS

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Nimesumbuka 52 days kubadili cozi imeshindikana,until nimefkri kupost pond mwaka...wewe ukiwa kama grt thinker jf unanishauri nini?
 
Ulipangwa kozi gani na ulitaka kuhamia kozi gani mkuu.
 
Nimesumbuka 52 days kubadili cozi imeshindikana,until nimefkri kupost pond mwaka...wewe ukiwa kama grt thinker jf unanishauri nini?
Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???
mi naamini uko SAU!! wewe si ndio ulikuja hapa jukwaani na kuanza kufagilia bioprocess engineering na BVM au nimekufananisha??? sasa leo kwa nini unalalamika unataka badili kozi???
ushauri wangu...
FWATA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA!!
 
alikua anajipa moyo sasa kaona ni mziki mnene...
 
Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???
mi naamini uko SAU!! wewe si ndio ulikuja hapa jukwaani na kuanza kufagilia bioprocess engineering na BVM au nimekufananisha??? sasa leo kwa nini unalalamika unataka badili kozi???
ushauri wangu...
FWATA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA!!

nipo bioproces lakn,i wanted to change wamegoma ,screening test bado 'bpe' hatujapata
 
Kwanza matokeo screaning test yametoka?? mbona hujui kuandika???
mi naamini uko SAU!! wewe si ndio ulikuja hapa jukwaani na kuanza kufagilia bioprocess engineering na BVM au nimekufananisha??? sasa leo kwa nini unalalamika unataka badili kozi???
ushauri wangu...
FWA?TA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA!!

acha kumdanganya mwenzako afuate malengo yake we we.......
angalia upepo kaka........we we move kule opportunity zinapo move we we.......hakuna cha malengo wala nin elimu ya bngo
 
Hahahaa endelea na kozi yako uliyopangiwa....

nimekuelewa mpigamsuli,lakn nasoma BPE Cna mkopo,for 4 yrz,..then nimalize still bado nikae home natafuta ajira,so i want FST kwanza ni miaka mitatu,then ajira zake za uhakika
 
acha kumdanganya mwenzako afuate malengo yake we we.......
angalia upepo kaka........we we move kule opportunity zinapo move we we.

na kwa mtindo huu tutapoteza wengi sana....sina la kukusaidia ndugu!!
 
nimekuelewa mpigamsuli,lakn nasoma BPE Cna mkopo,for 4 yrz,..then nimalize still bado nikae home natafuta ajira,so i want FST kwanza ni miaka mitatu,then ajira zake za uhakika

sio kosa lako....wengi hatujui mengi na hatuamini wala hatutaki kuamini kama hatujui!!! kumbuka duniani hauko peke yako!!! kwani hapo SUA waalimu hawapo wakakupa ushauri?? kuliko kuongea maneno kama haya, tena ya mtu aliyekata tamaa??!
 
BPE ulienda kwa combination ipi? halafu unataka kwenda food science kwa vigezo vipi? unajua wewe usitake kulazimisha maji yawashe jiko la mafuta halafu mafuta ya taa yatumike kama maji ya kunywa!!
 
bpe nilienda na pcb
 
Back
Top Bottom