Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

Tronics guru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
10,442
Reaction score
8,074
JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao.

Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo.

Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa.

Huu mtandao kwetu sisi wengine ilikua ni zaidi ya soko,ilikua ni zaidi ya chuo nk

Kila mtu atafikiwa na hii serikali
SSH you've tripled my anger asee
 
william_andason-20201031-0001 (1).jpg
 
Unafanya biashara gani nikuungishe ?
Mkuu nauza fridges, freezer, TV,Acs na home appliances zote
Bidhaa za fridge na freezer ziko hapa
 
Back
Top Bottom