Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
-
- #21
Dkt. Gwajima DMwisho wa kuwa online humu ni Jana , hivi na yeye anatumia VPN au yuko Malawi ?
Aisee nina hasira sana alooWanatengeneza hasira kubwa sana kwa watu ni vile wamelala wanadanganyika na nyomi za kukodi
Low IQ sana hawa,wanafungia mtandao then wanaendelea kupost kwenye mtandao hiyohiyoHali ni tete tumeachiwa mitandao ya vyupi tu
Ndio mtaji wao maana huko kumejaa nyumbu wengi.Low IQ sana hawa,wanafungia mtandao then wanaendelea kupost kwenye mtandao hiyohiyo