Kweli nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa makamasi

Kweli nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa makamasi

Umehama kutoka kuchambua mwanaume mmoja mmoja sasa umehamia kutuchambua kutokana na makabila yetu kabisa!!!

Pliiz kosa la aliekugeuza single mama usitujumlishe na sisi maana unatutia nuksi,kujirahisisha kwako kumeku-cost hata hapa huko Pm kutajaa text za hao jamaa ili wakakuthibitishie urijali wao.
Hahaha sijubugi huko pm alafu usingle maza niutoee wap ??ukweli ndo huo lisemwalo lipo sema wengine hawawez kusema ila mtu kam mimi sinaga uvumilivu
 
Ndugu yangu mwanamke ni mwanamke tu achana na hao wanaoigiza bt kusema kweli mwanamke anaweza date wanaume mkibao na usijue so u just kip calm ntapata ninachokitaka
Hakika wanawake wa ziku hizi ni Malaya tu siyo wewe lkn mkuuu samahani
 
Katika wanaume wanaoongoza kwa mionekano mizuri hamna kabila linawashinda hawa wa klm esp wachagga yaan ni kama unaweza tamani uwale kama chakuka ilaa bwana bwana bwan......yaliyomo hayamo

Hivi mnakwama wap jaman???kwenye swala la mapenzi??

Chaaaaa mnajuaa kutafuta tu elaa ila mambo ya chumbani mna gentlemen Gpa carry over kibao chaaa bila kusahau viba_100 ndo wanaoshikiliaa kombe khaaaa kweli ukubwa wa pua si wingi wa makamasi

Naomba niishie hapa manake nikifafanua zaidi kama sio kufutiwa uzi ntakula ban la maisha!!!!!!

Mambembe the queen of king bed
Mambembe queen of all weather
Naona leo umeamua unitukane [emoji15]
 
Acha kugawa gawa papuchi
 
umeambukizwa gono huko then unakuja kujibenua JF
 
Back
Top Bottom