Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

hahahaaaa.....utamu wte wshamaliza ktambo alafu bdo wanalinga!raha ya manzi papuchi bhana,vngne majaaliwa
 
Uzuri wa MWANAUME POCHI bibi! Kitu cha wallet! Mi mwanaume akisema nimekupendea tabia zako sijui nimeona tutaendana eeeeeeeeeeewwwwwwwwww! DEAL BREAKER KABISAAAAA! Na possibility yeyote ya papuchi na ieliminate. Naona hapo ni mwendo wa kukopwa tu.:eek2::eek2::eek2::eek2:. Wanaume hawajui magic words "NIMEKUPENDA ULIVYO NATAKA NIKUBORESHEE MAISHA MPAKA WATU WOTE WASHIKE ADABU ZAO ZIWASHIKE UKIPITA MAHALI WANASEMA DEMU WA FLANI" Hii gia hakuna mwanamke atakae chomoa.

Wazazi au mshahara wako unafanya kazi gani!
Mi najua binti anatakiwa ajifunze kwa mama yake, na si wanaume tukiona binti mwenye mama mwenye maadili pia, tunaamin binti anaweza kuwa wife material.
 
mkuu umezungumza vizuri sana.. Ukweli mkuu Elli79 huwa simuelewi.. Yupo humble sana kwa kina dada mpaka kutuponda wanaume wenzake ili kina dada wasifie.. Soma comment yake ya kwanza kabisa page 1... Wakuu hili ni jukwaa huru hatujuani.. Sio mbaya kuandika unachofeel au unachojua mradi usimtukane mtu.. Kama unaona kwako imekukwaza pita tu.. Ukiipenda weka neno.. Leo hata madada wote wanisifie kwangu ni useless hawanijui siwajui.. Am living my true life here..

Cc: #Elli79

Huyo jamaa ndo style zake za kutongoza.
Anadhani akipondea atakosa mbunye.
 
Uzuri wa MWANAUME POCHI bibi! Kitu cha wallet! Mi mwanaume akisema nimekupendea tabia zako sijui nimeona tutaendana eeeeeeeeeeewwwwwwwwww! DEAL BREAKER KABISAAAAA! Na possibility yeyote ya papuchi na ieliminate. Naona hapo ni mwendo wa kukopwa tu.:eek2::eek2::eek2::eek2:. Wanaume hawajui magic words "NIMEKUPENDA ULIVYO NATAKA NIKUBORESHEE MAISHA MPAKA WATU WOTE WASHIKE ADABU ZAO ZIWASHIKE UKIPITA MAHALI WANASEMA DEMU WA FLANI" Hii gia hakuna mwanamke atakae chomoa.

Hiyo gia kweli mademu wachache ndo waweza chomoa, vinginevo utawamega wengi hadi ukonde.
 
Nyie kwa kulalama mnaongoza ikiwa tepetepe ina maji ikiwa ngumu ohoo kavu sana nahisi kuna mtu ananibiwa tuambieni mnataka ziweje
 
Back
Top Bottom