JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
ujinga mwingine
wanaume tunaukaribisha wenyewe, na mtu akijua huna akili
anaishia kukushika masikio
mkuu hicho ni kicheche tu achana nachon na viko vingi sana humu tunamoishi
mtafute dada yeyote amsemee mbovu kama alivofanya jamaa yake halafu mpotezee jumla
Yes Man you have lost stand up and move, hapo hakuna mapenzi jamaa akikamua akachoka na kutema atakurudia kwa ulaghai wake, ukikubali tuu imekula kwako!!!!!!!!!!!!move on she doesn't deserve you..........................you are worth much more than loitering around with fools...............hili la kujibizana na wapumbavu linamaanisha hata wewe una matatizo........................umedhalilishwa lakini bado unajikaza kisabuni....................achana nao wapumbavu hao......................
Demu unayekutana naye gesti asitahiri kuwa mke wako.Huyo muweke kama akiba wa kuokoa jahazi wakati mambo si mambo.Gest .? tena uchochoroni.?Na we demu unayeperekwa gest.?
Hapo mkuu Faiza tupo pamoja, mtu kakuvulia nguo bado hamjaoana kweli hapo una mke?????????? Bado utadai eti ni mchumba, je amevulia nguo watu wangapi!!!!!!!!!! Labda iwe bahati tuu, pole sana chomoka mapema!!!!!Kwani umemuoa? Mwanamke unaeweza kutembea nae wewe nje ya ndoa anaweza akatembea na mwanamme yoyote yule, huna hati miliki.
Halafu nawapa nasaha vijana, mwanamke wa maana haswa, si yule ambae anahitaji matumizi yake ya kila siku kutoka kwako. Mwanamke anaehitaji kutoka kwako huyo yupo katika biashara na mfanya biashara huwa na wateja wengi na tofauti.
Astahili yenu yawapate na mtaendelea kupatikana hivyo hivyo kwa uzinzi wenu.
Nawashangaa sana kuona kuwa kuwa na mwanamke au mwanamke kuwa na mwanamme (boy friend/girl friend) mnaona kuwa ni sifa au uhodari. Sifa ya mwanamme au mwanamke ni kuwa na mume/mke wa ndoa.
Hivi haya maadili huwa mnafundishwa wapi? Taifa omba omba huanzia kwa hawa wazinzi wa kike na wa kiume. Zinaa huongeza ufukara, si wa mali tu, bali hata wa mawazo. Jiulize, hivi mwanamke anaeweza kukuvulia nguo kabla hujamuoa anaweza kukushauri nini cha maana? Wakati wana falsafa wanasema kuwa "kuna mwanamke mwenye nguvu nyuma ya kila mwanamme mwenye mafanikio". Sasa mwanamke nguvu za nini? Nguvu za mawazo na si misuli. Anaeweza kukuvulia chupi nje ya ndoa hana nguvu za mawazo au ni mfanya biashara ya kuuza mwili wake. Hivi mkivuliwa nguo mnajiona mahodari na mmepata? Mnanchekesha! Wenzenu huwa wanaona "lione jinga hili limepatikana".
Yes Man you have lost stand up and move, hapo hakuna mapenzi jamaa akikamua akachoka na kutema atakurudia kwa ulaghai wake, ukikubali tuu imekula kwako!!!!!!!!!!!!
Inaonekana umezoea kuumizwa. Kama hutak kujitoa endelea ku dhalilika.
kuna vitu vingine inatakiwa utumie akiliza kawaida kabisa......hupaswi hata kupelekwa chekechea ili ufanye maamuzi ya jambo hili.......kama mwanzo alikiri na kukuomba msamaha, halafu mtu wake akakupiga mkwara na demu wako nae akapigilia msumari......bado unatafuta nini hapo??!!!
mapenzi bongo style,nawewe ukikutana nae huyo demu mtafune line zote tigo na voda kisha mumpigie cm jamaa amkane nayeye ajiskie
Huyo binti anaonekana ana tamaa sana...hafai katika jamii..hawa ndio wanasababisha vijana kuchomana visu au kufanyia mengine mambo ya kuhatarishiana maisha..alikuwa na wewe kwa maslahi binafsi na sio kwa mahusiano thabiti..ni wa kuogopwa...huna sababu ya kumjulisha mtu wake...wewe deal nae mwenyewe mwambie kama alivyokwisha kukukana na iwe hivyo...hata wewe mkane..na baada ya kusema hayo basi....na wewe unatakiwa uwe na msimamo mkali..usibabaike nafsini mwako ukajikuta unabadilika badilika...siku huyo kidemu wake akikukuta nae utajuta maana demu atakukana tena mara ya pili na itabaki kuwa wewe ndo unaingilia mahusiano yao maana ulishakanywa na hukusikia...hatakuelewa kuwa yeye ndo anakusumbua na kujipendeza kwako kwa shida zake. jiweke pemben mapema kaka kuepesha shari na kwa usalama wa maisha yako uishi kwa amani...hata kama ni mzuri kwa sura maana tabia tayari ni tatizo..sio mwaminifu..wapo wengi wenye tabia njema na wazuri haswa na wenye msimamo. Kimbia kabisa hilo ni balaa linabisha hodi.....shtuka na chukua tahadhari mapema kabla ya hatari
Jesus is coming soon.Nilijaribu kutaka kutafuna tgo lakin ngoma haikupita.