Kubwaga kuna staili nyingi, moja wapo ni hiyo ya kwako. Yaani hapo unapigwa "nitoke vipi" ili utoe hela. Lakini mapenzi umeshaambiwa kwa herufi kubwa hakuna. Tangu alipomsevu jamaaa yake ndo alipokubwaga ila alikuwa anatafuta jinsi. Pia Msipende kuchukia kuachwa. Mapenzi ni hisia sio democrasia. Kama mtu hakutaki tena na bahati nzuri kakwambia aanza mbeele na usikasilike japo utaumia. With time utapata mwingine wapo wengi. Acha hadith za ooh tulitoka mbali kwani ulizaliwa naye si umejuana naye wakati umeishaish itu humu duniani. Mapenzi tumia hisia na akili. Ukiambiwa unapendwa, ooh honey ooh my everything usi sahau falsafa ya Mbayuwayu(akili ya kuambiwa..). Wanao puuza falsafa hii katika mapenzi wanaishia pabaya ( kufungwa, kuua, kuwa chizi au kujiua). Life is so good to spoil it because of a woman. IF WOMEN WERE THAT GOOD GOD COULD HAVE ONE.