Hahahahaha jamaa anakuudhi eei wish i could be mod
ningekupiga ban
[emoji276]
Hapa msaada utapata mzeesasa nisaidie bhana haya yeshe maana isha kuwa tab
ujue unanipa ugonjwa wa moyo hapo mzeeUnataka nikuwekee link na picha juu?
Ukisema tu nitamcc Nyani Ngabu alete taarifa za jana1
2
3
4
Hivi ni vale au kale kengine maana anato twingij
Halaf beby sikia Ngabu ni mhenga ujue ni babu ati we mchukulie poaaaah
ngoja tutafanya kikao
yaani m nime msifia mtu kwa picha tu kesi halaf yako hii tuiache tuu skubali
aaahJamaa king*ang*anizi eee
Amina na yatimizwe
Ukisema tu nitamcc Nyani Ngabu alete taarifa za jana
Ngabu ni mhenga ana miaka 90 ,usione wivu ule ulikua utaniujue unanipa ugonjwa wa moyo hapo mzee
hebu tutumiane ushahidi ilikuwaje
ujue unanipa ugonjwa wa moyo hapo mzee
hebu tutumiane ushahidi ilikuwaje
Vile anavyonikunjaga kama pweza bahariniMazee joo umesemaaa?
Pole tutamkanya, roho mbaya sana huyo Iceman 3D !Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Kwahiyo mamy na wewe umemwonea huruma Gea?Pole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu
hii...naomba uende pmPole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu
I feel like who haVile anavyonikunjaga kama pweza baharini
Babu acha utani wewe unapenda utani kila saaNgoja nije PM.
Nitaanika kila kitu😀.
Mwenzio jana alishakubali kubadili hadi jina lake aitwa Gea Ngabu.