Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Eti mwanaume kawa kuhadi alafu bado unamtaka na yeye watamkuhadia piga chini njoo PM tuyamalize

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
 
Nimefurahi sana me na wewe tumebond kabida kumbe huwa unaangalia Korean movie .....!! aigooo njoo mama PM hope umejijua

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Bro
kuwa makini unaita mke wa mtu huko PM
 
Itabidi umtafutie nje ya JF maana ukienda kwa mshana kana undugu naye
Kwa mshana apana weeeee[emoji15] [emoji15]
Ntakua nmejimaliza mwenywe

Nataka nimuendee kigoma
Cjui kama ntafanikiwa




[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom