Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ila usser inaonekana ulivuruga sana ndugu yangu hahaha
ujue mtakatifu mpaka sasa hajasahau hilo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acha kabisa ndugu yang
Mpaka nlijikuta namuonea tena

Huruma ivuga maana
Co kwa kilio alichokua
Anakilia[emoji1] [emoji1]

Daby alituokoa na ban

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Nampendaga uyo kaka uliemueka kwa profile hope na ww umefanana nae maana mie napenda mwanaume akiwa hb yani nikimwangalia nashiba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mtamuua huyu jamaa ..
Mwacheni kidogo tafadhali
 
Kamsifia Vera sidika eti alivyokua sasa mzuri na amempenda haswa,nimejisikia vibaya

Hayo maimplants yana mwisho wake. Yatachakaa yatachina yatachuja

Ridhika na alichokupa MUNGU! Hakitakuletea maradhi.

Asojua uzuri wako huyo siye wako. Utampata wako ambaye hatasifia wa nje. Atakuona wewe tu.

Wa macho-mia mia haramu.
 
Back
Top Bottom