Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Button za simu naziona za moto. Paw kaniambia anamtafuti usser kakosa kadogo tumpe ban ya masaa 80ingefaa tufanye damage control kaka
kwa hiyo mtakatifu ndio kusema hata kupotea potea huku ni kwa sabab ya ule uzi?
Pole sana dada yangu. Mimi najua maumivu ya kutendwa. Inna anachukulia poa ila siju yakimgeuka ndio atanielewa.Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Wamelala ila relato yy anaumwa kalazwa but soon atakuja jukwaaniWameenda wapi tena si uliwafungulia uzi jaman
Hayo maimplants yana mwisho wake. Yatachakaa yatachina yatachuja
Ridhika na alichokupa MUNGU! Hakitakuletea maradhi.
Asojua uzuri wako huyo siye wako. Utampata wako ambaye hatasifia wa nje. Atakuona wewe tu.
Wa macho-mia mia haramu.
hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acha kabisa ndugu yang
Mpaka nlijikuta namuonea tena
Huruma ivuga maana
Co kwa kilio alichokua
Anakilia[emoji1] [emoji1]
Daby alituokoa na ban
[Color= yellow]Triple A[/color]
ila kama relato uko naye mkuu basi si mbayaWamelala ila relato yy anaumwa kalazwa but soon atakuja jukwaani
Siachi hata mmoja. Wote wanguila kama relato uko naye mkuu basi si mbaya
hayo ya Inna samehe tuu tusonge mbele
Kumbe hzi profile mzee ni deal enhee maana naona tayar kuna mtu kakuelewa sasa hili toto tundu langu sjui hata kama litakujwa kupendwa
Jirani nimekumiss, vipi haujarudi tu nimuagize yule kijana?Kumbe hzi profile mzee ni deal enhee maana naona tayar kuna mtu kakuelewa sasa hili toto tundu langu sjui hata kama litakujwa kupendwa
Ila sio mbaya mzee Dodo chin ya Mnyanya naona hyo
Ha ha ha Jiran naona unatokea weekend kwa weekend tu siku hziJirani nimekumiss, vipi haujarudi tu nimuagize yule kijana?
Jirani week days natumika hadi najihurumia!!!Ha ha ha Jiran naona unatokea weekend kwa weekend tu siku hzi
Miss u more hasa wallet yangu imekumis zaid fanya uje ila ustume watoto...
Naamin unatumika kwa faida jiran sio kwa hasara...Jirani week days natumika hadi najihurumia!!!
Namtuma dogo fasta alafu nitakuja jioni jirani, maana sio kwa mmiso huu!!!
Hivi jirani mbona haukosagi majibu!!! Ulizaliwa siku gani lkn!!! Hebu acha fujo, mtoto yuko njiani anakuja.Naamin unatumika kwa faida jiran sio kwa hasara...
Umeona enhee umemisiwa sana halafu unajua ukituma watoto Jiran ni child Labour wasije wakatushtak bure bora uje mwenyewe au utume kibinti cha miaka 18 na kuendlea
Tupo hapa kujua hatma yakoIceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Haya mwambie atankuta nje ya get afanye upesi kidogo kuna sehemu nawah au kama vp ntapitia kwako jiran Kila kitu ntakuja nachoHivi jirani mbona haukosagi majibu!!! Ulizaliwa siku gani lkn!!! Hebu acha fujo, mtoto yuko njiani anakuja.
Jirani mimi nikiwa na shida na wewe ndio unapata safari!! Hii safari ya leo ahirisha niko njiani nakuja mwenyewe.Haya mwambie atankuta nje ya get afanye upesi kidogo kuna sehemu nawah au kama vp ntapitia kwako jiran Kila kitu ntakuja nacho
Mzee hizi zinategemeana na siku... jana naona ilikuwa siku nzuriKumbe hzi profile mzee ni deal enhee maana naona tayar kuna mtu kakuelewa sasa hili toto tundu langu sjui hata kama litakujwa kupendwa
Ila sio mbaya mzee Dodo chin ya Mnyanya naona hyo