Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #21
Mzee naona unatumia fursa vilivyoNjoo nikupoonze moyo PM
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Ndio maana Ice hakuamini,halaf we ndio utakuwa unamtafutia vera ice wangu ee ,tuachane unichukue una six pack ?Nataka nijifunzie kwako.
Sasa kuliko ujiue si aheri nikuibe tu?
weeee!Hapa kukusaidia labda nikuibe sasa.
Soma haraka nifute kabla ice hajaja
Nipe sumu nimwekee yeye anipende
[emoji102]Njoo nikupoonze moyo PM
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
HahaNdio maana Ice hakuamini,halaf we ndio utakuwa unamtafutia vera ice wangu ee ,tuachane unichukue una six pack ?
Eee sauti gani hizo hebu nifundishe nianze leoHiyo ni limbwata!! Achana na limbata, wewe mwoneshe mapenzi ya shilingi yote na paza sauti mpaka ya 17 atasikia kilio chako!!!
nime muona anacho fanya hapo hata hasaidiii etiNdio maana Ice hakuamini,halaf we ndio utakuwa unamtafutia vera ice wangu ee ,tuachane unichukue una six pack ?
Bro nalinda hapo nilitania tu ili uone wivu asinywe sumu bure usije ukakamatwa na Bashite.weeee!
mambo gan hayo umeanza
si nlisema unilindie?
Waacheni wanawake wenye maumivu waje kwangu kwa maana......Mzee naona unatumia fursa vilivyo
Basi huna vigezo niache na na ice tu anazo sita zote ndio maana naliaHaha
Ice ananiamini bwana labda kama umeshamlisha limbwata la kutokuniamini.
Zipo mbili ndiyo na struggle kufikIsha walau fourpacks [emoji3][emoji16]
Wee labda surgery tu hahahaHuko nyuma fanyia mazoezi tu
Eeeh
Litakaaa supaaa na kujiseti
Youtube haipo mbali nawe ha ha haaa
Kwa hiyo wewe unachukua tu walioumizwa?Waacheni wanawake wenye maumivu waje kwangu kwa maana......
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Kumbe we mwizii
Nataka nijifunzie kwako.
Sasa kuliko ujiue si aheri nikuibe tu?[
Bro nalinda hapo nilitania tu ili uone wivu asinywe sumu bure usije ukakamatwa na Bashite.
Kwanini umemsifia vera badala ya mim,,mi mbona unanisifiaga kidogo tunime muona anacho fanya hapo hata hasaidiii eti