Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Ndio maana Ice hakuamini,halaf we ndio utakuwa unamtafutia vera ice wangu ee ,tuachane unichukue una six pack ?
Haha
Ice ananiamini bwana labda kama umeshamlisha limbwata la kutokuniamini.

Zipo mbili ndiyo na struggle kufikIsha walau fourpacks [emoji3][emoji16]
 
Haha
Ice ananiamini bwana labda kama umeshamlisha limbwata la kutokuniamini.

Zipo mbili ndiyo na struggle kufikIsha walau fourpacks [emoji3][emoji16]
Basi huna vigezo niache na na ice tu anazo sita zote ndio maana nalia
 
Waacheni wanawake wenye maumivu waje kwangu kwa maana......

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Kwa hiyo wewe unachukua tu walioumizwa?

Hongera kwa iphone
 
Back
Top Bottom