Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Hivi wewe jamaa upo?

Saint Ivuga yupo wapi
Aiseeee npo mkuu
Shuhuli tu za hapa na
Pale


Aisseee!! Huyu jamaa
Cjamuona tangu ulivotuokoa
Kwenye ule uz nusura
Tukumbane na rungu la mods
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yan aliondoka na inna kabsa
Hawaonekan cjui n kuoa
Aliamua kuoa kabsa ama

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aiseeee npo mkuu
Shuhuli tu za hapa na
Pale


Aisseee!! Huyu jamaa
Cjamuona tangu ulivotuokoa
Kwenye ule uz nusura
Tukumbane na rungu la mods
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yan aliondoka na inna kabsa
Hawaonekan cjui n kuoa
Aliamua kuoa kabsa ama

[Color= yellow]Triple A[/color]
Huyo hawezi kuoa. Ingekuwa kuoa angeshaoa 2010.

Aliamua kukuharibia tu
 
Nampendaga uyo kaka uliemueka kwa profile hope na ww umefanana nae maana mie napenda mwanaume akiwa hb yani nikimwangalia nashiba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
We dada umenichekeshaaa ,,,,ukute Daby anafanana au kuna mawili kaaa ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mzeee yamenikuta hapa
Haa haa mzeee utasema yote
Af ukicheck n huyu bibie geahabibu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Huyu ukitaka kumtaftie mwenzie
Wa kumsaidia kaz unatumia akili
Ustumie nguvu oooooh!!!

Ona sasa jumba bov lnakuangukia
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom