Mimi fix nyingi ukiona cha zaidi wangu utakuwa wa kusifiwa.hahahaha
ila bro hili ukiona uzi kama huu una nistua mapema.
tena napenda ufunguliwe wako ntakuwa wa kwanza kujb
We nae nimemdanganya nini
mimi nlikuwa nachangia tuu madaPole Mkuu na tamaa zako zimekuponza
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Hahahahaamenikumbusha wake watu huvaa nguo na lebo yake ili tujue ni mpya
Hapa hakuna otherwiseHuyo kuhudumia hawezi ndiyo uganga wake
Gea nimemvungia tu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimuite sema Thuuuu na ushakubali kupewa papuchi
Yebaaaaa papuchi ndo nnKama hb nakuzawadia papuchi[emoji23]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
usmpe hiyo ndugu yangu
mtanipoteza akili mwenzenu
Halaf mtoa mada si ndugu yakomimi nlikuwa nachangia tuu mada
sema ndio nka weka mbwembwe kdgo
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Naona familia ya bwana na bibi Iceman mnataka kunisababishia matatizo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukimwita ntafurahi
Hahahaha
iceman nataka tuwekeane sumu kidogo tupendane mpaka watu wapate kisukari
We nae nimemdanganya nini
i wish i could be modEti mwanaume kawa kuhadi alafu bado unamtaka na yeye watamkuhadia piga chini njoo PM tuyamalize
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Si ni utania tu weweKani wewe na Ngabu mna nini kinachoendelea.!?
1[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukimwita ntafurahi
aaahNisamehe sirudii,,nyani anataka kuniharibia