Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Dhahabu ile, na wewe hauaminiki kabisaaaa!!Ha ha ha ha unavyomficha utasema bado anavaa uniform
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhahabu ile, na wewe hauaminiki kabisaaaa!!Ha ha ha ha unavyomficha utasema bado anavaa uniform
Daah jiran mpka wewe wa kusema hvyoDhahabu ile, na wewe hauaminiki kabisaaaa!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Daah jiran mpka wewe wa kusema hvyo
Bas acha nikasake machimbo mengne ntakayoaminika naona nshakuwa kama Acacia na makinika vile[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahaaaa!! dah! mkuu umetisha.Waacheni wanawake wenye maumivu waje kwangu kwa maana......
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Em tafuta wahenga wenzakoHa ha ha ha unavyomficha utasema bado anavaa uniform
Wewe mtoto embu tulia nimalizane na mama yako sawa enhee?Em tafuta wahenga wenzako
Oooh unataka umuoe?Wewe mtoto embu tulia nimalizane na mama yako sawa enhee?
Nataka nmuoe wakat kashapokea mahar yako wewe kaz yangu kuja kukubeba tuOooh unataka umuoe?
Labda mahari ya binti yake mwingine. Me nishaolewaNataka nmuoe wakat kashapokea mahar yako wewe kaz yangu kuja kukubeba tu
Ha ha ha labda kama umeolewa ndoton ila kwa mama yako bado binti mbichiii na katoa kabisa ruhusaLabda mahari ya binti yake mwingine. Me nishaolewa
You wish....Ha ha ha labda kama umeolewa ndoton ila kwa mama yako bado binti mbichiii na katoa kabisa ruhusa
Wewe ndio you wish ungekuwa umeolewa ila usjal uje kwa muhenga nkutunzeYou wish....
[emoji78] [emoji78] [emoji78]Wewe ndio you wish ungekuwa umeolewa ila usjal uje kwa muhenga nkutunze
Ha ha ha ha ha ha[emoji78] [emoji78] [emoji78]
Aseeh Buda uko njemaSijawahi kuangusha bwana.
Ukitaka ujue ulinzi wangu mkali Gea kaweka mada tu dk 2 ninayo kama Joseverest vile