Kweli Nyani Haoni...... Wachina wanaofanya kazi TZ,KE,UG

Wachina kule Tanzania wameteka hadi hata wapo kwenye CCM, hebu ona wanavaa hata kofia za chama

View attachment 1081862
Mk 254 huyo mchina alikuwa ni balozi wa china nchini Tz alipanda jukwani ktk kampeni then vyama vya upinzan vililaumu sana serikali ya uchina jamaa hakuchukua muda akabadilishwa balozi akaja mwingine ...
 
Ndio maana bado mko LDC Hadi wa Leo... Poleni sana
 
Na deni la Ug ni kubwa kushinda Tz
Kama deni la Ug ni kubwa unafaa UG ndo ingekua na wafanyikazi wengi zaidi manake hao wachina hua wanapenda Sana kupigania projects ambazo nchi Yao imetoa mikopo
 
Uyo jamaa alikuw anaitwa kaka.alikuw na Costa moja ya abilia tukuyu-mby mjin.alirudi kwao ila gari na baadhi ya mali alimuachia mkewe na mtoto wa kinyaki if not mistaken
 
Kama deni la Ug ni kubwa unafaa UG ndo ingekua na wafanyikazi wengi zaidi manake hao wachina hua wanapenda Sana kupigania projects ambazo nchi Yao imetoa mikopo
Sababu ya wachina kuwepo Tanzania ni kutokana na historia ya hizo nchi mbili tangu Uhuru wa Tanzania, Kumbuka JWTZ linanunua 90% ya vifaa toka China, kwa hiyo kuna wachina wengi sana wapo ktk kambi za JWTZ wakitoa mafunzo, TAZARA kuna wataalamu wengi wa kichina, na kiwanda kikubwa cha nguo cha URAFIKI kilichojengwa miaka ya 70s na wachina kuna wachina wengi sana. Kenya wachina wameanza kuja just 15 year ago.
 
Yaani majirani mnaofanana mpaka kutembea leo mnazozana kwa kufurahia nani ana wachina wachache kuliko mwenzie
Kwa kweli poleni sana
Hivyo vyuo mnatoa wataalamu wa kuiba tu lakini kazi wafanye foreigners waliosomea taalauma na kufanya kazi stahiki

Sasa nyie kila wanapojenga nyie wahandisi uchwara ibeni cement na nondo sawa
 
Kama deni la Ug ni kubwa unafaa UG ndo ingekua na wafanyikazi wengi zaidi manake hao wachina hua wanapenda Sana kupigania projects ambazo nchi Yao imetoa mikopo
Hakuna cha kufaa, you have provided the statistics yourself, tunawazidi kuajiri wachina wao wametuzidi mkopo, wao kupaswa kuwa wengi kule, kale ni kanchi kadogo sana, watakuwa wengi huku sababu the land is soo huge and remember, wao wameanza kuja Tz since 1960,s. Wameanza kuja Ug na Kenya in 2000,s
 
Niko na uhakika China ikitoa data kamili ya hao wachina utapata wengi wao walikuja Tz kuanzia 2000s na si cha urafiki wa jadi walala nini....

Ukiangalia Kampuni nyingi za Kichina ziko na HQ Yao ya East Africa hapa Kenya. Huu urafiki wa Tz na China wa Kihistoria uliisha enzi za cold war, sahii urafiki wa China na nchi yoyote ni strategically kulingana na economy au policy ya kuongoza wao...
 
Kuna technology transfer kati ya tz na mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…