luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mk 254 huyo mchina alikuwa ni balozi wa china nchini Tz alipanda jukwani ktk kampeni then vyama vya upinzan vililaumu sana serikali ya uchina jamaa hakuchukua muda akabadilishwa balozi akaja mwingine ...Wachina kule Tanzania wameteka hadi hata wapo kwenye CCM, hebu ona wanavaa hata kofia za chama
View attachment 1081862