Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Sawa mkuu sina hata 250Huna hata hiyo T H ya 250 pole kwa ndoto za jioni
Sijataka kukuaminisha,kwani mimi najuana na wewe physically??.nimejifungulia tu uzi humu jf where we dare to speak openly.Ila ulivyokuwa na tabia za roho mbaya unasema sina hata 250k,mijitu mingine bana.Hizi tunatengeneza. Hakuna jipya asee usitumie nguvu nyingi kutuaminisha ww ni mjinga vun
๐๐๐ Usicho kijua ni kutochukulia jf serious nimeandika kama utani tu japo kimikazo ila kwakua imepenya naona umeleta hadi uthibitisho. Ungekua kwamba hatujuani ungeishia kusema sawa sionlazima hizo picha za hela yako๐๐๐ huenda kweli hata hiyo 250 hunaSijataka kukuaminisha,kwani mimi najuana na wewe physically??.nimejifungulia tu uzi humu jf where we dare to speak openly.Ila ulivyokuwa na tabia za roho mbaya unasema sina hata 250k,mijitu mingine bana.
ungekuwa mfanyabiashara ingewezekana maana bilionea ili aweze kumaintain ubilionea wake inabidi aishi ki milionea.Wakuu nimekubali baadhi yetu hatuwezi kuridhika 100% kwa tunachokipata.
Kuna kipindi nilitamani sana kama ningekuwa japokuwa na ka-take home ka 800k na baada ya kufanikiwa kupata nikaona hapa bado sana.Sasa hivi nina 1.6m kama take home na bado naona nahitaji kupata zaidi.Yaani najiona choka mbaya tu
Sasa leo nimejiuliza hivi kwa nini nisiishi tu kama vile napata 500k kwa mwezi badala ya kupandisha standards ili nipate mafanikio haraka?..nadhani nianze kufanya hivi.
Uzi tayari.
SamiaKwa hiyo sasa suluhu ni Nini?