majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 118
Nikubali na mimi basi..nikijakung'aa isijekula kwako..Mademu waliomkataa imekula kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikubali na mimi basi..nikijakung'aa isijekula kwako..Mademu waliomkataa imekula kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mademu waliomkataa imekula kwao
Hahaaaa lazima zilowane hawavai siku hizi mkuu mambo hadharan msondo ngomaHapo wale mademu wa tall handsome and black lazma chupi zilowane tu...najua wanakuja soon!
Ohooooo!!!!Hahaaaa lazima zilowane hawavai siku hizi mkuu mambo hadharan msondo ngoma
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona naona kama ni mfupi? atakuwa na kibamiaHapo wale mademu wa tall handsome and black lazma chupi zilowane tu...najua wanakuja soon!
Wajaribu tu plastic surgery.Kiboko ya mabishoooooo nae kawa mzungu.....![]()
Hata Marehemu Marijani aliimba, nikinukuu baadhi ya mistari yake:-Pesa sabuni ya Roho....
I like it... Umenisha mgoshiiii....Hata Marehemu Marijani aliimba, nikinukuu baadhi ya mistari yake:-
........Kila penye udhia oohoo.. wewe penyeza rupia...
........jamani pesa hoo....ilivunja ngome na milima...
........Wa kale walisema hoo....
........Pesa pesa..pesa ndio sabuni ya roho...
........Mwenye pesa..mwenye pesa sio mwenzio...nasemaaa...
Ha ha ha mfupi tena,, mi simooo!!!mbona naona kama ni mfupi? atakuwa na kibamia