Habari wana Jf.
Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed.
Ha!ha!ha!
Shikamoo PESA unatupa ushujaa vijana tusiojua kutongoza mabiti.