Kweli pesa ndiyo kila kitu!!

Kweli pesa ndiyo kila kitu!!

lallana

Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
24
Reaction score
3
Habari wana Jf.

Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed.

Ha!ha!ha!
Shikamoo PESA unatupa ushujaa vijana tusiojua kutongoza.
 
Habari wana Jf.

Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed.

Ha!ha!ha!
Shikamoo PESA unatupa ushujaa vijana tusiojua kutongoza mabiti.
Ukipata pesa ndio utajua pesa si kila kitu.
 
Magufuli kiboko... Akikuchapa basi nyuma itavimba kaboka chezea nini ila siungi mkono pesa sio kila kitu
 
Back
Top Bottom