Kweli siku hazifanani

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Haaaaaaaaaaahhhh shoga usiidanganye kuokoka at tht age!uongo mtupu!mi hapana !sio mlev wala mnnywaj !ila nikiamua nakuuuuuuuuuuunywaaaaaaa!CHA!na stress za nchi hii
Kuna mda upako unanishukia sio wa nchi hii jamani namwambia Mungu wangu nakupenda sana yaani sana nikiingia huko heineken nitakuwa naiona kwa picha jamani acha acha tu nijinywee huku naendelea kukusifu [emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji we inabidi nikutengenezee ya kwako iliyopo ni ya mumu
Mh shemeji
Dawa yangu ndio itakuwaje jamani kwahiyo haitakuwa sawa na ya mumu
 
Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala

Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??

Niwatakie mchana mwema.
Hilo BWEGE lililokubeba hapo kwenye AVARTAR limeenda wapi ama ndo limekata kamba, maana hiyo limbwata inahitaji mganga toka Sumbawanga kuitegua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…